Nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mtu akiperuzi JamiiForums

Nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mtu akiperuzi JamiiForums

Germany public transport lazima ulipie ticket before boarding via apps or machine compare na tz ni cash in hand


Usalama; hapa OPVN ziko safe compare na bongo muda wowote unasachiwa na kuibiwa.

Operational hour's; OPVN ziko 24HRS/7 za tz sjui zikoje
Shukurani.

Zile train za kulipia kwa honor system unapanda halafu hakuna conductor, wanakuja kuangalia tiketi mara moja moja, bado zipo?

Hizi zipo US nilivyopanda mara ya kwanza New Jersey nikasema wakileta Bongo hizi kila mtu atapanda bure.
 
Back
Top Bottom