Nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mtu akiperuzi JamiiForums

That the legend I know, Kiranga monstrous
 
Baada ya kutoka German kuja kusalimu wazee Tanzania nikiwa nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mwana-jf akiperuzi.

Nilimuangalia nikatafakari sana.

Huyu atakuwa nani?
nilishindwa kupata majibu ya haraka.
Hapo naona umepost mada tatu tofauti...ILA unataka tujadili ile ya mwisho ya JF
1. Umetokea German (Germany)
2. umepanda public transport kwa mara ya kwanza (huwa unatumia usafiri binafsi)
3. umeona mtu akiperuzi jamii forum (hiyo ndio ya mwisho kabisa)
 
Chagua Moja wapo kati ya hizo tatu.
 
Labda useme hivyo, ila kwa walio neutral kwenye michango yao, ambao mambo ya siasa hawapo extreme na sio critiques wa serikali hawana shida.
They're still members of the cult whether extreme or not.
Kuwa member wa cult si mpaka uwe na shida(hapa ulimaanisha to be a critic ambayo pia haimaanishi kuwa mtu mwenye 'shida')
 
Natumia kila muda na kila wakati pale nahitaji kuperuzi,sipangiwi na mtu yoyote kutumia mitandao.

Niogope kutumia JF nikiwa public kwanini ???
 
They're still members of the cult whether extreme or not.
Kuwa member wa cult si mpaka uwe na shida(hapa ulimaanisha to be a critic ambayo pia haimaanishi kuwa mtu mwenye 'shida')View attachment 3568806
Your point inaeleweka. Mtu anaweza kuwa part of a group bila kuwa extreme, na hiyo peke yake haimaanishi ana shida.

being a critic haimaanishi mtu ana kasoro—it’s just a different perspective
 
Kitu gani hiki ni kuhusu maswala ya Atheism au ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…