Nimepandishwa cheo hapa JF Mshahara wangu utakuwaje?

Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya?

Je, madaraja ya mishahara yakoje?
Mkuu, Ulianza na mshahara wa shingapi ?
 
Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya?

Je, madaraja ya mishahara yakoje?
Uliombaje ajira bila kufahamu ujira utakaopewa/lipwa?Kwa staili hii utakuwa unaelewa hata kanuni za kikokotoo chako kweli?
 
Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya?

Je, madaraja ya mishahara yakoje?

Labda walikufananisha na Deo
 
Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya?

Je, madaraja ya mishahara yakoje?
Utaendelea kula ban tu
 
Back
Top Bottom