Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Mkuu, Ulianza na mshahara wa shingapi ?Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya?
Je, madaraja ya mishahara yakoje?