Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Kunawanawake wanakili yaani siku umechacha hujui ata utapata mtonyo wapi. Utasikia Baba nonio kuna hela nilikuwa nacheza upato kwenye bajeti ulokiwa unaniachia. Lakini wengine utakuja kusimulia hapa atakachokufanya
 
nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
Baki na robo mkuu, hawa viumbe ukiwatumia vizuri watakusaidia kupiga hatua kimaendeleo.
Ikiwa sio wa mashindano ya mavazi na anaona mbali, mpe 75%
 
mkuu huyu mamsapu kwa bajeti nampigia saluti, ukimwachia laki 4 na nusu ya chakula kwa mwezi lazima mwisho wa mwezi hela ibaki, kosea vyote usikosee ukaja kuoa mfujaji.
 
Kunawanawake wanakili yaani siku umechacha hujui ata utapata mtonyo wapi. Utasikia Baba nonio kuna hela nilikuwa nacheza upato kwenye bajeti ulokiwa unaniachia. Lakini wengine utakuja kusimulia hapa atakachokufanya
kweli mkuu, oa mwanamke mwenye upendo utafaidi.
 
nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
Wewe ndio wale watu Yesu aliokuwa akiwasema,sasa umebakiza moja tu ili uende mbinguni nusu nyingine ya mshahara wako kawatolee Maskini
 
Back
Top Bottom