Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

Umenena vizuri boss, lakini nachoona shida sio kusoma, shida malecture ndio wasumbufu ata kumaliza after 3 years ndio shida Mzee.
 
Nenda Udsm pale CoICT Kijitonyama, utapata code za kutosha. Utajua vuzuri programming language , machine learning, Hacking , network, graphics design. Yaani utaondoka ukiwa umewiva. Msc na Phd usikimbilie udsm.
 
Sawa mkuu nimepewa namba nawatafuta sio muda.
 
Ndio naweza mkuu, any IT related course naweza kusoma kabisa, nilichagulia software engineering nikaacha nikasoma ualimu ili niajiriwe..
Soma online huku unaendelea na kazi yako

Angalia hii

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…