Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

OPEN UNIVERSITY hata walimu wao wengi wana elimu ya kuunga unga tu. Unakuta mtu eti associate professor lakini ukiangalia publications zilizompatia huo uprofesa unashangaa. Ni chuo cha hovyo sana!
 
Ada imeshaliwa utafanyaje, ningekuwa mwaka wa kwanza ningekimbia, ila lazima nitafute chuo cha kueleweka
Nilitaka nisome ile foundation then niende ba bachelor kumbe udsm na udom hawatoi admissions kwa foundation kozi yao open.....nikapiga zangu diploma udsm miaka miwili mwaka huu naunga kiboss.
 
Nilitaka nisome ile foundation then niende ba bachelor kumbe udsm na udom hawatoi admissions kwa foundation kozi yao open.....nikapiga zangu diploma udsm miaka miwili mwaka huu naunga kiboss.
Safi sana, mi nishachelewa ila ningerudia tu paper ya Form 6 niongeze D, alafu nicheki utaratibu mwingine. Foundation yao inakubana sana, hauna options nyingi mara nyingi utaishia pale pale au kozi ambazo hizihitaji
 
Sema nini janja kama tayari wewe ni mtumishi unaweza kusoma OUT kwa sababu Tanzania wanachoangalia kwa watumishi waliojiendeleza ni makaratasi na sio kilicho kichwani

Kuna jamaa alisoma OUT lakini akiwa tayari mwajiriwa wa BoT na cheo kimepanda baada ya kugraduate

Ila hicho chuo simshauri mtu akasome ili akimaliza akapambane kutafuta ajira
Mbona wengi wapo kwenye ajira broo unazingumzia ajira zipi
 
Back
Top Bottom