ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,578
- 7,055
WanajijuaHao vilaza ni kina nani?
WanajijuaHao vilaza ni kina nani?
Utakuja kujuta, katafute chuo kingine chenye walimu wa kuelewekaMimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya computer, nimechungulia open university nimeona degree ya Information and Communication Technology nimeangalia zile course outline zote zinasomeka tu, sikuhuzi platform za kujifunza ni nyingi, Nimeomba open university na Masomo yanaanza Mwezi wa nne, nimejaribu kufatilia nimeona Malalamiko mengi sana kuhusu hiki chuo Cha open university,
Lengo langu ni kumaliza baada ya miaka 3, lakini nimeona watu kulalamika kwamba, ni ngumu kumaliza Kwa miaka mitatu, lecture ni wasumbufu, mtihani inapotea, wakufunzi wanaomba hela ya ziada na malalamiko Mengi zaidi.
Swali langu ni moja je hayo mambo yana uhalisia? Nifanyeje ili nimalize Kwa wakati, au niachane nayo niende tu mwakani nikasome kampasi?.….
😂😂😂Hata bure siwezi kusoma OUT.
Naona vilaza wanatoka na mi GPA mikubwa kichwani sifuri.
Ukisoma kitu kingine tofauti na fani uliyoajiriwa nayo toka mwanzo, unapoteza mda bure kwa sababu, ukimaliza lazima utachagua moja Kati ya mbili, Kuajiriwa kama mtumishi upya au uendelee na kazi ile ile ya zamani ( means hapa unakuwa umepoteza mda wako bure kabisa for nothing) , soma kwanza sheria za utumishi na shirikisha HRO na katibu wako kabla hujatumbukia kwenye chumba cha vibwengo, vinginevyo labda kama unasoma kwa matumizi yako binafsi.Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya computer, nimechungulia open university nimeona degree ya Information and Communication Technology nimeangalia zile course outline zote zinasomeka tu, sikuhuzi platform za kujifunza ni nyingi, Nimeomba open university na Masomo yanaanza Mwezi wa nne, nimejaribu kufatilia nimeona Malalamiko mengi sana kuhusu hiki chuo Cha open university,
Lengo langu ni kumaliza baada ya miaka 3, lakini nimeona watu kulalamika kwamba, ni ngumu kumaliza Kwa miaka mitatu, lecture ni wasumbufu, mtihani inapotea, wakufunzi wanaomba hela ya ziada na malalamiko Mengi zaidi.
Swali langu ni moja je hayo mambo yana uhalisia? Nifanyeje ili nimalize Kwa wakati, au niachane nayo niende tu mwakani nikasome kampasi?.….
Kwa hiyo ulishaanza masomo au ulikuwa unaturusha tu.Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya computer, nimechungulia open university nimeona degree ya Information and Communication Technology nimeangalia zile course outline zote zinasomeka tu, sikuhuzi platform za kujifunza ni nyingi, Nimeomba open university na Masomo yanaanza Mwezi wa nne, nimejaribu kufatilia nimeona Malalamiko mengi sana kuhusu hiki chuo Cha open university,
Lengo langu ni kumaliza baada ya miaka 3, lakini nimeona watu kulalamika kwamba, ni ngumu kumaliza Kwa miaka mitatu, lecture ni wasumbufu, mtihani inapotea, wakufunzi wanaomba hela ya ziada na malalamiko Mengi zaidi.
Swali langu ni moja je hayo mambo yana uhalisia? Nifanyeje ili nimalize Kwa wakati, au niachane nayo niende tu mwakani nikasome kampasi?.….
Azingatie huu ushauri, lasivyo tutamsahau, watu wanasoma miaka 5 mpaka 6 pale Bachelor's degree na poa labda kama yuko tayari kutoa pesa.Kwani mkuu hauwezi kweda chuo kingine tofaut na OUT?
kama umeajiriwa we tafuta vyuo wanavoita vya kata fresh
kusoma soma huku ni uoga maisha, kwa hiyo kazi we tafuta mtaji fanya biashara.Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya computer, nimechungulia open university nimeona degree ya Information and Communication Technology nimeangalia zile course outline zote zinasomeka tu, sikuhuzi platform za kujifunza ni nyingi, Nimeomba open university na Masomo yanaanza Mwezi wa nne, nimejaribu kufatilia nimeona Malalamiko mengi sana kuhusu hiki chuo Cha open university,
Lengo langu ni kumaliza baada ya miaka 3, lakini nimeona watu kulalamika kwamba, ni ngumu kumaliza Kwa miaka mitatu, lecture ni wasumbufu, mtihani inapotea, wakufunzi wanaomba hela ya ziada na malalamiko Mengi zaidi.
Swali langu ni moja je hayo mambo yana uhalisia? Nifanyeje ili nimalize Kwa wakati, au niachane nayo niende tu mwakani nikasome kampasi?.….
Ranged ❎ Ranked ✅. Umesoma OUT au MUM?Ila ndo hivyo kipo Ranged top 10 ya vyuo vikuu bora Tanzania..Mtake msitake.
Ulichoandika ni kitu sahihi kabisa, ila kwenye upande wa "cheap and easy to access degree" inategemea na nani na nani, ukitaka kunyooka hawashindwi kukuweka miaka 5 mpaka 7 kwa programme ya miaka 3.Kashfa ya hicho chuo ni kuoffer "cheap and easy to access degree". Ni chuo ambacho kina reputation ya kusaidia wanafunzi kuhitimu na kupata vyeti but kuhusu ubora wa elimu na stadi za uhakika thats questionable na ngumu kuwapa benefit of the doubt.
Kwanini usitafute chuo kama mzumbe, at least CBE,IFM, UDSM, etc. why usitafute chuo chenye reputation nzuri usome na kama kazini wanataka kukupandisha daraja subiria kwanza upande daraja then utaendelea na maswala ya masomo baadae.
Hakuna shule pale nakuambia niko pale kwa zaidi ya miaka mitano, ningejua ningerisiti paper nichukue D yangu moja niapply vyuo vya kueleweka.Open University, ni chuo kinachotoa Elimu ya hapa na pale na Elimu mbali mbali.
😂😂😂😂😂😂😂
Yasemwayo yapo.
Miaka 5 yote unasubiri nini?? Ondoka hapo haraka sana.Hakuna shule pale nakuambia niko pale kwa zaidi ya miaka mitano, ningejua ningerisiti paper nichukue D yangu moja niapply vyuo vya kueleweka.
Ni vile tu huwezi kurudisha muda nyuma ila ni moja ya kitu najilaumu, wenzangu walioenda UDOM wamemaliza mwaka juzi, na wao course yao ilikuwa ya miaka 4, yangu pale Open ilikuwa miaka 3
Wewe unakijua vizuri hiki chuo na kuna swala la kupotea mitihani, swala la uchelewesha matokeo, kiufupi siwezi mshauri mtu yoyote kukisogeleaUsijaribu utapotezewa muda , wanasahisha vibayaaaaa uki appeal hakuna lolote, wengi wamefika mahala wame drop
Lasivyo utasoma mpaka ukate tamaaa 😂🙌🏾😅
Ada imeshaliwa utafanyaje, ningekuwa mwaka wa kwanza ningekimbia, ila lazima nitafute chuo cha kuelewekaMiaka 5 yote unasubiri nini?? Ondoka hapo haraka sana.
Vyuo vya St., Open na MUM vyote ni takataka.Lkn ujiandae , uache mchezo mchezo, kana kichwa kibovu katafute chuo cha St kasome umalize, huko St hakuna shida
Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya computer, nimechungulia open university nimeona degree ya Information and Communication Technology nimeangalia zile course outline zote zinasomeka tu, sikuhuzi platform za kujifunza ni nyingi, Nimeomba open university na Masomo yanaanza Mwezi wa nne, nimejaribu kufatilia nimeona Malalamiko mengi sana kuhusu hiki chuo Cha open university,