A
Anonymous
Guest
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika.
Pia soma ~ Open University wana tabia zikibaki siku chache mwaka wa masomo uishe au Graduation ndiyo wanaanza kusikiliza shida za wanafunzi
Swala la research, hili watu wengi wameongea lakini sioni likifikiwa solution, tumeongea sana na uongozi 2023 na 2024 tukajua watajirekebisha ila huu mwaka ma-supervisor hawajafanya chochote na ni moja ya sababu ya watu kushindwa kumaliza.
Tatizo la Miungu watu, lecturer akikuchukia kwa sababu haukuhudhuria Zoom yake, sisi wengine tuko kazini mpaka usiku, anapeleka hiyo chuki kwenye mitihani mpaka kwenye research yako na utakula sup na repeat za kutosha. Na yeye ndiyo ataamua wewe unamaliza mwaka gani.
Miaka yote kumekuwa na swala la usahihishaji mbovu wa mitihani hasahasa department ya science na ukilalamika ndiyo utajaziwa Sup na repeat za kutosha, najua humu kuna Wanafunzi wa Open au hata ukiingia kwenye ma-group yetu utaona watu wakilalalmika.
Nimekuwa nikifuatilia viongozi waliomaliza Bachelor Degree pale Open na naona waliweza kumaliza ndani ya miaka 3 wote huwa najiuliza waliwezaje??? Kwamba sisi wengine ni wajinga???
Pale Open kuna madudu mengi sana hasahasa Department ya Science ubaya zaidi Wanafunzi wamechagua uoga na kuishia kulalamika WhatsApp pekee, ila ni moja ya chuo cha hovyo sana.
Naomba mods msibadilishe chochote, mimi ni Mwanafunzi wa pale na kila nilichoandika ni cha kweli. Next time nitaweka majina yao na picha.