KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mazingira ya kitu kidogo hayo!
Wanazingua, hapo kaanza kukufelisha mitihani, unamlia buyu unalipia tena gharama la somo lake,unarudia mitihani bila hiyana unasonga mbele, kwenye research unakutana naye baada ya kukusumbua kwa miaka 3 mwishoni anakuomba hela.

Yani akufelishe, akulipishe ada ya kulipia somo na mtihani, alafu ukutane naye kwenye research bila wewe kumuomba akusaidie, yeye tu kwasababu anaamini ana mamlaka ya kukufanya chochote, ukubali, Hapana
 
Back
Top Bottom