Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Place iko overrated kama vile ilikuwa Mbalamwezi...na place za hivyo tena zikikuwa beach ni full kujaza kuku wa kienyeji
I've been telling this to people ila kondoo wa sehemu za starehe wapo wengi sana bongo.
Unaweza kuwa hupapendi ila unataka sehemu kwa ajili ya mapichapicha utambie watu so huna namna
 
I've been telling this to people ila kondoo wa sehemu za starehe wapo wengi sana bongo.
Unaweza kuwa hupapendi ila unataka sehemu kwa ajili ya mapichapicha utambie watu so huna namna
Mi nasema uwepo wa instagram/mitandao una overrate sana maeneo...

Ukiacha hizi places za starehe, kuna ujinga pia wa overrating upo sehemu za misosi...

Unapata eneo lina jina kubwa mtandaoni as if ni first class royal palace, nenda sasa kupatembelea uone madudu utayoyapata...mfano tu ni sehemu kama "batapoint" jina kubwa mtandaoni kama TacoBell, sasa hiyo place in reality ni ka gengeni kwa Chesco...
 
Sana mkuu na ndio maana si sawa kuamini maeneo ya mitandaoni sababu hii hii.

Mitandao inafanya watu wakubali kutoboka unnecessarily kwenda kwenye maeneo ambayo mengi yamejaa hype tu but ridiculously expensive just because ndio zinazotamba mitandaoni
 
Kwa nn usichukuwe mda wako ukaenda kuobserve ili kujiridhisha
 
Pesa Sina mpaka nimesema Sasa mwisho kunywa pombe Sasa haya mambo ya kidimbwi tena yananifanya nirudi kuwa kijana na full mares ya pombe.

Ila starehe kila mtu anataka wachiliambali kupenda tatizo unaendaje kutumia laki kwa siku moja?
 
Kidimbwi ni sehemu iko overated sana. Pa kawaida na mtu aliyepapaisha zaidi ni Diamond pia sababu anaishi kama nyumba ya nne kutoka kidimbwini na wasafi chawa wengine.

Ukivuka delta ile unaona bangaloo la marehemu Mama Rwakatare nemc walilotaka kulivunja. Pisi hakuna asubuhi na jioni zikija kwenye pikipiki huwa tunaziona za kawaida sana.
 
Wewe huuzi mkuu??
 
Naomba kujua mmiliki na ni yeye anamilikia pia tips na juliana
Majina yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…