Jibu maswali yake ya msingi sio kuleta vitisho, jikite zaidi kwenye location kwa faida ya wengi... hayo tutajionea wenyewe mbele kwa mbele.
Watanzania porojo nyingi mtu anauliza swali nyie mnaanza kubwabwaja, jibu swali kama hujui pita hiviiPoleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.
Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.
Kwanini Beach Kidimbwi?
1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY.
2. Nilisikia pia kuhusu beach kidimbwi kwenye wimbo wa msanii Roma na Stamina-Corona.
Sasa nimetamani nikatembelee hilo eneo nione kinachojiri. Hivyo naomba kujua yafuatayo:
1. Location yake
2. Je, kuna hotel ya kulala au fukwe tu?
3. Gharama za vinywaji na chakula ikoje au ndio maji kubwa 7,000/=
4. Je, naweza kwenda na familia ya mke na mtoto?
5. Kuna mapaka?
Hupajui, halafu unapaelezea kwa undani!Na kuzaliwa kwangu kote na kuishi hapa dsm sipajui na sina interest aisee[emoji23][emoji23]
Huko kila mtu mnajuana ukienda. Sehemu ikishakuaga nyomi kwakweli sipafurahii. Huko pamejaa wanachuo huko sana sana.
Lakini wengine starehe yao ni fujo na kukutana na kila mtu unayejuana naye kama samaki samaki. Hapo wapo binadamu pia wanaojiuza mkuu. PISI KALI hapo ndo nyumbani
Napaelezea kupitia wanaoenda mpenzi. Na samahani endapo nimeharibu biashara. Ila ukweli ndo huo juu ya kidimbwi.Hupajui, halafu unapaelezea kwa undani!
Punguza uongo wewe, unapajua vizuri!
Kuna mtu anabisha hakuna wauzaji eti. Yaan sehemu iwe hot hivyo ikose wauzaji? Masikhara kweli haya. Cha kufahamu si wote wauzaji ila wauzaji wapo tena wasomi wazuri tu kwa mbinu tofauti. Wako naowajua walisoma chuo nilichosoma ndo mitaa yao. Wanahama na upepo panapohit.Binafsi sijapapenda sana,ila kuna totoz za ukweli hasa mida ya jion..kuna malaya pia wanatega mabuzi ya kuchuna kama kawaida.
Location yake ni unaenda mpaka kule mbezi beach ya chini kuna sehemu inaitwa kwa zena unaingia kulia huko ndani.
wewe unapajua na umefika ha ha ha haNa kuzaliwa kwangu kote na kuishi hapa dsm sipajui na sina interest aisee[emoji23][emoji23]
Huko kila mtu mnajuana ukienda. Sehemu ikishakuaga nyomi kwakweli sipafurahii. Huko pamejaa wanachuo huko sana sana.
Lakini wengine starehe yao ni fujo na kukutana na kila mtu unayejuana naye kama samaki samaki. Hapo wapo binadamu pia wanaojiuza mkuu. PISI KALI hapo ndo nyumbani
mkuu kidimbwi iko mbezi beach ya chini kule kawe round about alafu mbele ukitumia google map utafika nikupe tip za kungoa pini nunua Hennessy basi utazungukwa na watoto wazuri tupu ushindwe wewe tu pia usiende na demu utajilaumu milele manake kuna pini za hatari hujapata kuzionaPoleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.
Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.
Kwanini Beach Kidimbwi?
1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY.
2. Nilisikia pia kuhusu beach kidimbwi kwenye wimbo wa msanii Roma na Stamina-Corona.
Sasa nimetamani nikatembelee hilo eneo nione kinachojiri. Hivyo naomba kujua yafuatayo:
1. Location yake
2. Je, kuna hotel ya kulala au fukwe tu?
3. Gharama za vinywaji na chakula ikoje au ndio maji kubwa 7,000/=
4. Je, naweza kwenda na familia ya mke na mtoto?
5. Kuna mapaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa hapa anasema nikuambie usiende na mkeo,utajilaumu. Utashindwa kuzungusha antena huku Na huku.
Unapajua vizuri wewe!Napaelezea kupitia wanaoenda mpenzi. Na samahani endapo nimeharibu biashara. Ila ukweli ndo huo juu ya kidimbwi.
Umekasirika kweli mkuu nimewasemea biashara yenu. Haya watakuja pmUnapajua vizuri wewe!
Biashara haiwezi kuaribika kwa sababu wewe bidhaa upo na wanunuzi ni wengi pia, usihofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mkuu kidimbwi iko mbezi beach ya chini kule kawe round about alafu mbele ukitumia google map utafika nikupe tip za kungoa pini nunua Hennessy basi utazungukwa na watoto wazuri tupu ushindwe wewe tu pia usiende na demu utajilaumu milele manake kuna pini za hatari hujapata kuziona
No mkuu. Sijafika asilani. Sijafika kabisa. Ila sifa zake unazipata kupitia wahusika. Miye si mwanachama wa vyombo mkuu siziwezi kbs zitaniuawewe unapajua na umefika ha ha ha ha
Biashara matangazo, umefanya vyema!Umekasirika kweli mkuu nimewasemea biashara yenu. Haya watakuja pm