Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?


Kama hutajali ntajie jina la chuo ulichosoma
 


Kuna nyuzi nyingi humu watu wananishangaza
Wanachuo kujiuza..
Ungekuwa unatusaidia kuwaeleza reality ..
 
Kuna nyuzi nyingi humu watu wananishangaza
Wanachuo kujiuza..
Ungekuwa unatusaidia kuwaeleza reality
Cc @Dr w
Weee... unashangaa hostel mtu anakuja asubuhi anatandaza madola hapo kitandani mpk unaogopa. Anakwambia katoka kwa mzungu. Ile ilikua inawamotivate mpk na wengine washiriki. Inaogopesha sana aisee. Ile kuwekaga sheria za hostel ilisaidia sana maana unakuta chumba watu wanalala mpk 12 wakat ni cha watu wanne tu. Nashindwaga kuelewa shida ni nini. Either ni kutaka waonekane wako vzr financially, tamaa ama dhiki za kwao. Lkn wale walikua wajanja kbs. Sitaki kuwake kwenye kundi la watu wenye shida
 
UNataka mapaka ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…