Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Buti la mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
312
Reaction score
850
Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.

View attachment 2122685

View attachment 2122686
 
Pole sana. Hizi crown ni nyepesi sana. Mm sio fundi ila kwa uzoefu wangu hapo kaa na kama M1 Mpaka M1.5 gari itakaa sawa.
Daah!! Karibia mashuuda wote walikuwa wanasifia ubora wa body laiti ungeliona hilo limti nililo gonga! Anyway inaweza ikawa na body nyepesi ukilinganisha na benz au bmw
 
Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.

View attachment 2122685

View attachment 2122686
Pole sana mkuu. Siku ingine utaingia bondeni kisa unakwepa mpuuzi fulani na bange zake! Huna bima kubwa ?
 
Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.

Bima zinazingua sana hazipo kumsaidia mteja hasa kwa hz crash ndogondogo bado hujaenda police kupata ile PF90 utaskia mtandao sijui hakuna lngo uwape rushwa bado afisa wa bima hajukupiga hela ili aprocess haraka.
 
Back
Top Bottom