Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 312
- 850
- Thread starter
- #21
Mwezi wa 5 inaisha ntawahama lakin ata sijui niende wapi mana karibia wote wanafanana. Ntaitaji uzoefu wako mkuu wapi niamieOkay. Wababaishaji hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi wa 5 inaisha ntawahama lakin ata sijui niende wapi mana karibia wote wanafanana. Ntaitaji uzoefu wako mkuu wapi niamieOkay. Wababaishaji hao.
Hazikutoka mkuuAirbag zilitoka ?
New bumper 400,000Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.
View attachment 2122685
View attachment 2122686
Duh hizo hazifanyi kazi mkuu.Hazikutoka mkuu
Duh, Ama kwel Gari ukiwa na vijisenti itakutoa kamasiNew bumper 400,000
New bonnet 600,000
Wing 200,000
Taa 250,000
Vikorokoro vingine 300,000
Haraka haraka 1,750,000
Haya madudu yaone tu yanatembea.Duh, Ama kwel Gari ukiwa na vijisenti itakutoa kamasi
Kuna siku hizi dual carriageway tumesimama mtu avuke, wakati anavuka bodaboda inakuja mbio kutoka wrong side basi mimi naiona jinsi inavyoenda kumgonga mtu tuliemruhusu avuke aisee nilipiga honi yule mtembea kwa miguu akawa ananishangaa huyu ana kichaa nini, basi kule kushangaa kwake sekunde kadhaa ndio ile boda ikapita alinishukuru sana yule mtu ndio akaelewa kwanini nilikuwa napiga honi! Bodaboda ni janga halafu polisi ni kama wamekubali wamewashindwa!Boda boda ni mapepo kama mapepo mengine....lori limesimama kwenye kivuko, na mimi nikasimama ili tumruhusu dada flani avuke...yule dada akasita...nikamuonyesha ishara avuke, kuna bodaboda ikatoka ilipotoka, mwendo wa shetani...ikanipita kwa upande wa kushoto...tunashukuru yule dada alinusurika...wengine waliokuwa wanataka kuvuka wakaahirisha kwa muda..tukaondoka...
Nawachukia boda boda siyo siri....
Na asubuhi wakitupeleka kazini, wanakuwa wananuka midomo..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Pole sana mkuu
Tena ashukuru limegonga na kusimamia papo hapoMti kitu kingine kabisa,hata ukiwa mwembamba.
Kusema ukweli boada boda ninawachukia....hala akishagonga mtu kwenye zebra, anakimbia anajichanganya kwenye kijiwe cha wenzake...anasikilizia kama kuna noma...Kuna siku hizi dual carriageway tumesimama mtu avuke, wakati anavuka bodaboda inakuja mbio kutoka wrong side basi mimi naiona jinsi inavyoenda kumgonga mtu tuliemruhusu avuke aisee nilipiga honi yule mtembea kwa miguu akawa ananishangaa huyu ana kichaa nini, basi kule kushangaa kwake sekunde kadhaa ndio ile boda ikapita alinishukuru sana yule mtu ndio akaelewa kwanini nilikuwa napiga honi! Bodaboda ni janga halafu polisi ni kama wamekubali wamewashindwa!
Ahsante sana mkuu.Pole Sana kiongozi
Acha upuuziNimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.
View attachment 2122685
View attachment 2122686
Sawa dereva wa bodaboda mpumbavu naona ndio unaamka😀😀Acha upuuzi
Kwani kabla ya kununua gari hilo ulikuwa unasafirije katika hiyo mipango yako. Sema una bima ya Premier badala ya Comprehensive!Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.