Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Bima zinazingua sana hazipo kumsaidia mteja hasa kwa hz crash ndogondogo bado hujaenda police kupata ile PF90 utaskia mtandao sijui hakuna lngo uwape rushwa bado afisa wa bima hajukupiga hela ili aprocess haraka.
Bima Wao Shida Mwaka Mmoja Hujapata Ajali Wao Cash Ni Faida
Ukipata Ajari Kukufidia Inakuwa Ubabaishaji
 
Kluger sio? Sawa mkuu.
image_search_1645243229883.jpg
 
Mwezi wa 5 inaisha ntawahama lakin ata sijui niende wapi mana karibia wote wanafanana. Ntaitaji uzoefu wako mkuu wapi niamie
Hao jamaa wa bima ni kuwakazia tu, wala husitoe rushwa. Mimi nilishalipwa gari tena mara mbili bila kutoa rushwa hata sent moja, sema niliwakazia sana na nilikuwa na third party sema jamaa waligonga gari yangu.
 
Back
Top Bottom