Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Hao jamaa wa bima ni kuwakazia tu, wala husitoe rushwa. Mimi nilishalipwa gari tena mara mbili bila kutoa rushwa hata sent moja, sema niliwakazia sana na nilikuwa na third party sema jamaa waligonga gari yangu.
Nakula nao sahani moja mkuu, taratibu za polis zote nishamaliza picha za tukio nimewatumia kwa wakati
 
Sina cha kukujibu. Ongera kwa kuishi maisha ya dhahania kaza mwendo mkuu utafanikiwa
Mkuu hujanielewa, nilikuwa namjibu huyo aliyeleta habar ya bima ya premier.

By the way pole, najua stress zake niliwahi pata ajari na mazda, bampa, rejeta na feni pamoja na ufundi zilinitoka karibia milioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujanielewa, nilikuwa namjibu huyo aliyeleta habar ya bima ya premier.

By the way pole, najua stress zake niliwahi pata ajari na mazda, bampa, rejeta na feni pamoja na ufundi zilinitoka karibia milioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sorry mkuu, niwie radhi. Watu wengine wanashida sana kaka ata dhumuni la hili jukwaa hawajui ktk hili jukwaa kuna mafundi, madereva wazoefu wauza spare na n.k kuhusiana na vyombo vya moto lakin ukijaribu ku share changamoto yako basi wataibuka watu wachache pengine ata hvyo vyombo vya moto hawana na hawana ufahamu wowote wa vyombo vya moto na kuanza kuharibu dhima nzima ya changamoto uliyo-share au mada uliyoleta jukwaani
 
Kluger sio? Sawa mkuu.
Kiongozi bodaboda alinigonga jana usiku taa hiyo used japan bei gani na naweza kuipataje kwa huku iringa
20220213_101526.jpg
 
Yule siku zake zilikuwa bado mkuu kama ningeiacha aivae hasiongeomba ata maji ya kunywa
Wewe siyo dereva mwenye uzoefu inawezekana umemkwepa mchawi ukazani ni boda, Kuna mazingira yanakulazinisha kutokukwepa kitu barabarani
 
Wasikushauri ujinga
Uhai wa mtu una thamani huwezi kuua mtu kisa kulinda gari isiharibike
Kwa misingi ya imani zetu kifo utokea kwa ahadi kitendo cha mimi kumkwepa na kugonga mti ata mm ahadi yangu haikuwa imefika. Tahadhari ya kunusuru uhai wake na wangu ndio imepekea mm kutoka nje ya barabara na kugonga mti, uhamuzi wa kutoka nje ya barabara pasipo kukusudia (kwa ishara) nao ulikuwa hatari kwa maisha ya watumiaji wengine wa barabara
 
Back
Top Bottom