Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 312
- 850
Ahsante mkuuPole kwa ajali mkuu.
Yule siku zake zilikuwa bado mkuu kama ningeiacha aivae hasiongeomba ata maji ya kunywaPole sana. Boda boda hatukwepagi unasubiri tu aivae
Pole sana, boda boda ni tatizo sana barabarani..Yule siku zake zilikuwa bado mkuu kama ningeiacha aivae hasiongeomba ata maji ya kunywa
Daah!! Karibia mashuuda wote walikuwa wanasifia ubora wa body laiti ungeliona hilo limti nililo gonga! Anyway inaweza ikawa na body nyepesi ukilinganisha na benz au bmwPole sana. Hizi crown ni nyepesi sana. Mm sio fundi ila kwa uzoefu wangu hapo kaa na kama M1 Mpaka M1.5 gari itakaa sawa.
Pole sana mkuu. Siku ingine utaingia bondeni kisa unakwepa mpuuzi fulani na bange zake! Huna bima kubwa ?Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.
View attachment 2122685
View attachment 2122686
Mti kitu kingine kabisa,hata ukiwa mwembamba.Daah!! Karibia mashuuda wote walikuwa wanasifia ubora wa body laiti ungeliona hilo limti nililo gonga! Anyway inaweza ikawa na body nyepesi ukilinganisha na benz au bmw
Pole mkuu. Ila uhalisia ndio huo. Ni nyepesi. Shukuru MUNGU hukuroll.Daah!! Karibia mashuuda wote walikuwa wanasifia ubora wa body laiti ungeliona hilo limti nililo gonga! Anyway inaweza ikawa na body nyepesi ukilinganisha na benz au bmw
Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.Pole sana mkuu. Siku ingine utaingia bondeni kisa unakwepa mpuuzi fulani na bange zake! Huna bima kubwa ?
Hiyo ni tafsiri yako acha iwe hvyo na sipo hapa kubishana kwa vitu vya kipumbavu na wapumbavu.Hiyo sio ajali. Sema gari imegonga mti. Wewe upate ajali uweze kuandika uzi hapa jukwaani!!?
Okay. Wababaishaji hao.Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.
Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.