Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

mimi ndiye niliyekukwepa ...acha kutumia simu ukiwa unaendesha gari barabarani bloo
 
Nimeacha kutembelea hizi Gari "pamba" rasmi mwezi wa 12 last year baada ya boda kunigonga nilikua na harrier kwenye harakati za kumkatamata akafanikiwa kutokomea kusiko julikana.
Nimenunua Hilux double cabin nimeweka ngao nzito zenye mchanga ndani mbele na nyuma ..boda boda akiona anapisha mwenyewe Nina kisasi na boda boda .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…