swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Naona kama una ujinga flani kichwani mwako. ulishindwa nini kuandika NIMEPATA AJALI hadi ukaandika NIMEPATA ACCIDENT?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajari ndio nini?Naona kama una ujinga flani kichwani mwako. ulishindwa nini kuandika NIMEPATA AJARI hadi ukaandika NIMEPATA ACCIDENT?
Watu wa bima wanatia hasira sana basi tuBima zinazingua sana hazipo kumsaidia mteja hasa kwa hz crash ndogondogo bado hujaenda police kupata ile PF90 utaskia mtandao sijui hakuna lngo uwape rushwa bado afisa wa bima hajukupiga hela ili aprocess haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa mjinga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisamehe popote nilipokukwaza na kukutamkia maneno mabaya.....Wewe ni mpumbavu huna akili ,Mimi mwenyewe naendesha gari naendesha pikipiki,naheshimu kila mtu iwe waenda kwa miguu,gari au waendesha pikipiki.. ina maana wewe haujawahi kufanya mistake barabarani ? Magari mangapi yanaua watembea kwa miguu kwa uzembe wao!!! nakwambia iko kidude chako cha mkopo kisikupe jeuri pikipiki ninayoendesha bei yake ni mara 3 ya hiyo takataka yako..
Ujio wa bodaboda ilikuwa ni ajira nzuri sana kwa vijana ambao hawakubahatika kupata ajira au kuendelea na masomo...Bodaboda ni janga la kitaifa ...lazima kitu kifanyike. Ni kama wana utawala wao wenyewe vile.
Wanatia hasara kubwa, wanasababisha ulemavu na vifo holelaholela lakini hawafanywi kitu.
Wakikusababishia ajali ukisimama wanaitana wengi na kufanya vurugu.
Kuna askari tena ni wa usalama barabarani alikuwa analalamika jana bodaboda imepita na side mirror yake moja. Hii ina maana hata wanausalama wenyewe wamewashindwa.
Siku hizi watoto wote wasiopenda shule wana ndoto ya kuwa waendesha bodaboda. Hii inasikitisha sana.
Kuna baadhi ya waendesha bodaboda ni vibaka wanapora abiria na waenda kwa miguu
Ikiwezekana kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu hili swala. Pamoja na kuwa ni fursa ya ajira kwa vijana na pia zimerahisisha usafiri kwa baadhi ya watu...inawezekana hasara zake ni nyingi kuliko faida.
Kazi yao ni kunicover hasara na uharibifu hayo maswala ya nani kaharibu ni outside the scope of our agreement. Otherwise waweke wazi terms za mkataba kuwa ni ajali gani na ajali gani za kucover na sio kubadilika na kuhamisha magoli dakika za mwisho.Hakuna longolongo, lazima wahakikishe namna ajali ilivyotokea. Sio unalipwa hovyohovyo tu. Labda mtoto wako amebonda gari lako alafu unataka malipo. Achana na habari za waduanzi wapenda sifa.
Leta mawasiliano yako nikuletee hiyo taa hapo Iringa uipokee kwa Basi.Ni probox mkuu,nataka kujua bei ya used japan hiyo taa maana kwa iringa nmekosa
Ili ujue kama ajali ni kubwa au ndogo ili umlalie kwenye kuinunua hyo gari?,🤣🤣🤣Airbag zilitoka ?
Napata passo hpa,🤣🤣New bumper 400,000
New bonnet 600,000
Wing 200,000
Taa 250,000
Vikorokoro vingine 300,000
Haraka haraka 1,750,000
Passo ni gari au kiberenge? Acha ujinga.Napata passo hpa,🤣🤣
Hiki kijitu kina roho mbaya, wivu yaan hiki ni kichawi kabisa. Chenyewe kinamaisha magumu kwa sababu ya roho mbaya na uchawi. Wewe na Toyota waliounda hyo passo nani mjuzi zaidi?!! kila gari ilimeundwa kulingana na aina ya matumiz. Ata baiskeli hauna unadhalau passo wachawi mna matatizo sana😂😂Passo ni gari au kiberenge? Acha ujinga.
Soma tena policy zao, bima inatakiwa ikugharamie usafiri kipindi chote wakati gari ipo garage. Maana ikiwa matengenezo inakua chini yao. Jitahid umalize paper work za polisi na za bima mapema na pelema garage za wachina.Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.
Kama ndio hivyo, walime barua usiende kimdomo mdomo. Kwenye barua wa cc ssra. Sikumbuki muda unaotakiwa kusubiri mpaka malipo/matengenezo yawe tayari ila ni chini ya siku 60.Nakula nao sahani moja mkuu, taratibu za polis zote nishamaliza picha za tukio nimewatumia kwa wakati
Roho mbaya ipo wapi? Passo nayo gari ya kuzungumzia? Acha ujinga. Wanaume wanamiliki madude na wapo kimya.Hiki kijitu kina roho mbaya, wivu yaan hiki ni kichawi kabisa. Chenyewe kinamaisha magumu kwa sababu ya roho mbaya na uchawi. Wewe na Toyota waliounda hyo passo nani mjuzi zaidi?!! kila gari ilimeundwa kulingana na aina ya matumiz. Ata baiskeli hauna unadhalau passo wachawi mna matatizo sana😂😂
Wewe una miliki gari gani? shetani wewe umasikini wa kipato na fikra ndio unakusumbua unasema passo gari gani sasa hao waliodesign na kuliunda ww umewazidi akili?!! Tafuta pesa shwain wewe. Una ponda mali za watu ukiwa huna ata mkokoteniRoho mbaya ipo wapi? Passo nayo gari ya kuzungumzia? Acha ujinga. Wanaume wanamiliki madude na wapo kimya.
[emoji23][emoji23]Hiki kijitu kina roho mbaya, wivu yaan hiki ni kichawi kabisa. Chenyewe kinamaisha magumu kwa sababu ya roho mbaya na uchawi. Wewe na Toyota waliounda hyo passo nani mjuzi zaidi?!! kila gari ilimeundwa kulingana na aina ya matumiz. Ata baiskeli hauna unadhalau passo wachawi mna matatizo sana[emoji23][emoji23]
umesahau na kioo cha mbele.New bumper 400,000
New bonnet 600,000
Wing 200,000
Taa 250,000
Vikorokoro vingine 300,000
Haraka haraka 1,750,000