Jf kama jf uskute hii picha ni ya 2012 na magari yetu ndio hayo.Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.
View attachment 2122685
View attachment 2122686
Bodaboda ni kichomi sanaBoda boda ni mapepo kama mapepo mengine....lori limesimama kwenye kivuko, na mimi nikasimama ili tumruhusu dada flani avuke...yule dada akasita...nikamuonyesha ishara avuke, kuna bodaboda ikatoka ilipotoka, mwendo wa shetani...ikanipita kwa upande wa kushoto...tunashukuru yule dada alinusurika...wengine waliokuwa wanataka kuvuka wakaahirisha kwa muda..tukaondoka...
Nawachukia boda boda siyo siri....
Na asubuhi wakitupeleka kazini, wanakuwa wananuka midomo..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Pole sana mkuu
Hao ni vijana wenzetu wapuuzi waliopata magari ukubwani wanajiona wameshamaliza maisha,dereva Bora ni yule aliyemvumilivu kwa mwenzake na asiye na mihemko wala hasira ni kweli bodaboda wanakosea sana lakini usiwalipizie ubaya kwa kuwagonga kwa makusudi ,mbona gari nyingi zimepelekea vifo kwa watembea kwa miguu kwa uzembe waoUmejumuisha wote ndo tatizo
Na pili kama wewe ni dereva utakubaliana na mimi kwamba madereva wote tunafanya makosa barabarani na mara nyingi ni busara tu za madereva wenzetu ndo zinafanya tuendelee kuishi
Km kila mistake dereva akifanya anatakiwa afe au avunjwe kiuno basi hamna dereva angekuwa hai.
Leo unakosea wewe nakusitiri,kesho nakosea mimi unanisitiri.Kilamtu akileta kiburi na tambo kwamba mimi ndo nipo kwenye sheria na huyu mimi ndo nipo kwenye sheria basi kila siku tutaZika watu.
Busara ni muhimu
Peleka kwa mchina linarudi mpya ila andaa 2.5 milioniNimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.
View attachment 2122685
View attachment 2122686
Alafu unaeza kuta mti wenyewe ni mpapai anaogopa kusemaPole sana. Hizi crown ni nyepesi sana. Mm sio fundi ila kwa uzoefu wangu hapo kaa na kama M1 Mpaka M1.5 gari itakaa sawa.
Na wewe pole sana ndugu...Pore sana baba,,,uko vizuri. Wengine ata baiskeli ha2na
Huijui jf wewe uskute hilo gari kalikuta barabarani kalipiga picha na kutungia story jfPore sana baba,,,uko vizuri. Wengine ata baiskeli ha2na
Umaskini ni kitu kibaya sanaHuijui jf wewe uskute hilo gari kalikuta barabarani kalipiga picha na kutungia story jf
Mnooo!Pole sana, boda boda ni tatizo sana barabarani..
Bora kukata third party tu kuliko kupoteza mapesa kukata comprehensive ambayo haina msaada wowote.Bima Wao Shida Mwaka Mmoja Hujapata Ajali Wao Cash Ni Faida
Ukipata Ajari Kukufidia Inakuwa Ubabaishaji
Huijui jf wewe uskute hilo gari kalikuta barabarani kalipiga picha na kutungia story jf
JubileeKampuni gani hio?
Wewe ni mpumbavu huna akili ,Mimi mwenyewe naendesha gari naendesha pikipiki,naheshimu kila mtu iwe waenda kwa miguu,gari au waendesha pikipiki.. ina maana wewe haujawahi kufanya mistake barabarani ? Magari mangapi yanaua watembea kwa miguu kwa uzembe wao!!! nakwambia iko kidude chako cha mkopo kisikupe jeuri pikipiki ninayoendesha bei yake ni mara 3 ya hiyo takataka yako..Sasa wewe jichanganye na boda boda yako uone kama tutakukwepesha....
Na uzuri wa nchi yetu kwa sasa kesi ha kumgonga boda boda ni nyepesi kuliko ya kugonga ng'ombe...
Maana hata polisi wameshawachoka..
Ni kukupa bodi tu ukafie huko, nitapaka rangi mbele ya safari..
Hao bodaboda wasio kuwa na akili usitake kufanya generalization kuwa wote wapo hivyo mbona wapo madereva vichaa wa magari ,narudia tena na tena kukwambia mimi ni dereva wa vyombo vyote hivyo makosa yapo kwa watu wote,,mbona kuna madereva wengi wa magari wamesababisha vifo tena kwa uzembe!!!Kama mimi nitakuwa mpumbavu, wewe utakuwa mpumbavu namba 1 kwenye hii sayari.......
Mtu mwenye akili timamu huwezi kukaa unawatetea waendesha pikipiki.............mkishakoswa koswa na magari mnaanza kukashfu kuwa ni ya mkopo, kama kukopeshwa gari ni rahisi, na wewe si ukakope...
Nina mashaka utakuwa kuna nati mbili zimelegea kwenye ubongo wako..
Hata kama unaendesha pikipiki ya milini 150, jichanganye nayo uone kitu unafanya...kenge kabisa
Narudia tena, kesi ya kumvunja boda boda mguu ni nyepesi, kuliko ya kumvunja ng'ombe mguu...
Ng'ombe mwenye thamani ya laki 8 ukimvunja mguu, hawekewi POP...lazima achinjwe aliwe....hapo ni laiki 8 inakuwa imemtoka mtenda kosa..
Wewe nikikuvunja mguu, nakupeleka hospitali ya wilaya, matibabu na P.O.P havitazidi laki 2....baada ya hapo nakutelekeza ukauguze mguu wako miezi 6+
Unajua majanga ambayo tumeshakutana nayo au tuliyoshuhudia yakifanywa na boda boda na bado wanakimbia, na wenzao kijiwe kizima wanawahifadhi..? Au unaropoka tu....
Boda boda wanajidai hawana akili, sasa huku Arusha kuna kampeni ya kuwatia adabu....na wale wenye akili wameanza kubadilika.....
Unapewa bodi tu, ukavunjikie mbavu kule mtaroni...
Jana tu, nimetaka kukutana na janga la bodaboda...halafu unaongea pumba hapa...
Ujinga kama ni mali, peleka sokoni uuze upate faida...
Sitakujibu tena maana wewe unaonekana ni mwenyekiti wa wapumbavu..
That's all....Wasalimie.....[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Mimi naona aandae 2.1M gari itakaa sawa kabisaNew bumper 400,000
New bonnet 600,000
Wing 200,000
Taa 250,000
Vikorokoro vingine 300,000
Haraka haraka 1,750,000
πππππAlafu unaeza kuta mti wenyewe ni mpapai anaogopa kusema
Ningekuwa dereva mjinga ninayeongozwa na hisia hasi, yule dereva wa jana wa boda boda ningemsukumia kwenye kingo za bara bara tena za zege.......mimi nipo na safari zangu, imagine mtu wa boda boda ananifuata hapa nyuma, kaacha mita moja tu aguse bampa la nyuma upande wa kushoto...Hao bodaboda wasio kuwa na akili usitake kufanya generalization kuwa wote wapo hivyo mbona wapo madereva vichaa wa magari ,narudia tena na tena kukwambia mimi ni dereva wa vyombo vyote hivyo makosa yapo kwa watu wote,,mbona kuna madereva wengi wa magari wamesababisha vifo tena kwa uzembe!!!
Wewe ni dereva mjinga unaeongozwa kwa hisia hasi,sifa ya dereva ni kuwa mvumilivu na busara sasa Kama hauna uvumilivu utaishia pabaya.
Nina gari lakini mara nyingi natumia usafiri wa pikipiki kwa safari ndefu ina maana ikitokea kidogo nikafanya mistake inayoweza kukwepeka kwahiyo hukumu yangu nikanyagwe na gari sio?
Acheni mawazo hasi kila mwendesha pikipiki ni fukara
Halafu anatokea mtu anawatetea waendesha pikipiki....na wana kiburi kuwa akishaiwasha akapata upenyo, hutakaa umuone.....maana uchochoro anaopita hiwezi kumfuata na gari...Wiki iliyopita niliazima gari ya mtu nielekee kwenye kakijiwe nikatoe ela, ni sehem ya kama km 2.
Nikawa natembea na spidi ndogo maana gari ya kuazima na pia barabara ni ya vumbi, nikawa napita kushoto kabisa boda boda ikatokea mbele inayumba yumba nikaona isiwe shida nikasimama kabisa.
Cha kushangaza imekuja kuanguka mbele ya gari na kuvunja taa 2 za kulia.
Nikatoka akawa anaomba msamaha watu wakajaa nikaona nizime gari na kupandisha vioo, jamaa ankapata upenyo akasepa.
Wakuu nimetoa laki 3 na nusu na nimepokea lawama kibao.