Mwanangikolo
Member
- Nov 10, 2022
- 63
- 105
Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland.
Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na kufika ofisini kwake maeneo ya Magomeni na kunipa utaratibu namna ulivyo na kiujumla gharama zote kuanzia kuunganishwa na mwajiri ni Euro 500, Visa ya kazi na kusafiri Euro 500 na tiketi ya ndege Euro 500 na pia akawa amedai kwamba process zote hizo mpaka kuondoka kwenda kuanza kazi inachukua wastani wa miez 3.
Sasa je ni kweli wakuu aya mambo yapo na yanawezekana? Mana sijawahi experience hili swala na ukizingatia nna kama kamilion 5 tu hv ndo nmekakusanya baada ya kuvuna mahindi yangu..
Naombeni ushauri wenu kama nijue naendelea na mchakato au lah.
Ahsanteni nawakilisha.
#ni yeye lissu