Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

kama amesajiliwa freshiii apoo....njoo uku majuuu, mayolo yaani mambele tubebe boksi mkuu...uskuwe muogaa kama wengiii apo nchinii wamebaki kumlilia mama apo kitaa.,
Ntajua vp kama amesajiliwa mkuu..? Kazi aliyoniambia ni kwenye kiwanda Cha nyama na mshahara ni Euro 1300 kwa mwez
 
Sawa mkuu ntafanya hivo ..kazi aliyoniambia ni kwenye kiwanda Cha nyama na ujira ni Euro 1300 kwa mwez chakula na kulala ni juu ya muajiri
 
Utaliwa pesa zako.

1. Agent yupo wapi?
2. Kama yupo Tanzania amesajiliwa?

3. Amekuambia utoe gharama kiasi gani?
4. Kakuelekeza ukachukue medical report kutoka hospital gani?

Jibu hayo Kwanza, hayo ndio yatatoa muelekeo unapigwa au laa
1.yupo magomeni mapipa
2.sijajua kama kasajiliwa!! Na je tatambua vp kama kasajiliwa?
3. Jumla ni Euro 1000 kuniunganisha na mwajiri na kupata visa pamoja na work permit na tiketi pia kwahyo jumla Euro 1500
4.kaniambia hyo ntafanya me mwenyewe kupitia hosp atakayonielekeza
 
Wasenge nyie mnajifanya wajanja kukimbia nchi yenu mnamuachia nani linchi lenu hili...hio hela si bora ukapige mandagu uwe tajiri unaenda kutumikishwa na wazungu mwisho wa siku mnakua milenda mixer mashoga kmmake ..pesa ni zako na matumizi ni yako, unakuja kusumbua watu hapa ..
 
Kwanini asikuunganishe ukipata ndio umlipe?

Wangapi alishawaunanisha?
 

Utapigwa
Wazungu hawanaga hiyo biashara
Ingekuwa Asia tena uarabuni Sawa
 
Nenda ubalozi wa Poland kwanza ukapate majibu sahihi ya haya maswali uliyo orodhesha ambayo ni ya msingi. Ubalozi upo Masaki mtaa wa Mtwara.....
Itakusaidia sana kufanya maamuzi. Kila lakheri!.
 
Yaani unavyosimulia utafikiri kweli kuna agent, na pia kuna Poland! Kumbe vyote hivyo ni wizi tu. Na hata ingetoke kuwa kweli; basi ungepelekwa Ukraine kupigana vita na Urusi.

Kuna wenzako 14 wa Ghana nao yamewakuta kama haya ya kwako. Walipelekwa Urusi na "agent" kufanya kazi nyenye mshahara mzuri! Muda huu wako Donestky wanapambana na Ukraine. Wamesainishwa mikataba kwa lugha ya Kirusi, mwisho wa siku wanalia tu na kusaga meno.

Vijana acheni tamaa na pia kupenda kuota ndoto nyakati za mchana! Hiyo pesa unayotaka kuichezea, inatosha kabisa kuanzishia shughuli halali, na itakayokufanya uweze kujikimu na maidha yako ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…