Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya
Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya darasani. Niliachana na mpango wa kuomba ajira za serikali na kujikita kwenye makampuni na NGOs.
Nikaomba fursa nyingi sana hatimaye mojawapo nimeipata. Mshahara wa serikali ulikuwa around milioni moja na laki saba na kazi niliyopata nalipa PAYE ya shilingi milioni moja na laki tisa kwa mwezi.
Nashauri serikali ibadili mfumo wa kupata wataalamu wake maana wengi mnawakosa kwa hiyo mitihani yenu. Utaalamu wangu huu sasa unaenda kuijenga NGO.