Umesahau ana gari na ana biashara nzuriUnanipa mashaka sana,kama huelewe hata mshahara wako kiasi gani,kama paye ni 1,900,000 inamaana mshahara kabla ya paye ni 6,907000 iviiii na ukitoa paye unapata 5,007,000 sasa jamaa hapo kakupoteza na wewe umeingia King...sawa banaa hii ndo Jf kila mmoja anakazi nzuri na anapesa...