Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

Umesahau ana gari na ana biashara nzuri
 
Kwenye komenti yangu ni wapi nimemkubalia au kumpinga? Huoni hapo nimeweka imoji ya kucheka na kuuliza?

Anyway, arguing here wouldn't make any difference, yesterday 5m entered my account and that's what matters.
 
Mkuu una masters? Uko kwenye kada ipi?
Mambo ya kuwa kada ipi ni huko serikalini, huku private wanaangalia output tu. Moja kati ya directors kwenye hii NGO alisoma masuala ya dini lakini is the best kwenye fundraising.

So kujibu maswali yako, sina masters na original area niliyosomea ni uhandisi kwenye IT lakini nina certificates mbalimbali zinazotambulika kimataifa.
 
Bro unakusanya kama 6.2m.

Hata katb mkuu hakugusi.
Kwamba ni uongo?!

Mbona hiyo ni mishahara ya kawaida kwenye International NGOs kwa watu wenye experience, tena yeye kasema ni expat...means kama analipwa hiyo 6.2 M ni kama anapunjwa.

Kufananisha katibu mkuu na expat ni vitu viwili tofauti, maana wanacheza ground tofauti....na kumbuka shavu la katibu mkuu sio mshahara tu.
 
Nisahihi mkuu,
Hongera sana,
Ananius Edgar Huwa ana kibwagizo chake akiwa anazi simulia story za Denis mpagaze,
hupenda kusema,
POVU RUKSA.....
 
Sawa mkuu,pamoja sana endelea kujenga NGO
 
Nasikia huko NGOs fresh graduate kupata shavu ni ngumu sana. Kitu cha kwanza kabisa Wanaangalia experience basi.
 
Nipe link ya Linkedln ya hiyo kampuni niifollow, then nitafukua madesa hadi nikupate na wewe huko huko[emoji3][emoji3].

NOTE: Itakuwa rahisi wewe kunifahamu/kunitambua ila mimi itakuwa vigumu kukutambua/kukufahamu, ila haitakuwa sio case kwa upande wangu
 
Kwenye komenti yangu ni wapi nimemkubalia au kumpinga? Huoni hapo nimeweka imoji ya kucheka na kuuliza?

Anyway, arguing here wouldn't make any difference, yesterday 5m entered my account and that's what matters.
Mkuu share ezperience na uzoefu wako ni certificatuo gan i kwa upande wa IT uko kwenye NGO wanazikubali sana,bilashaka mtu wa It huko una deal na Data sana
 
Kwenye komenti yangu ni wapi nimemkubalia au kumpinga? Huoni hapo nimeweka imoji ya kucheka na kuuliza?

Anyway, arguing here wouldn't make any difference, yesterday 5m entered my account and that's what matters.
Basi baba imetosha. Nakuja basi unikopeshe laki 5 jembe langu niishi kidogo mwanetu.
 
Kuna maajabu mawili hapa,, kupata kazi serikalini, nakupata kazi kwenyr ngo,, hawa kazi zao zinapatikanaje kwani, maana procedures za kawaida zinazotambulika hupati kazi
 
Kumbe NGO kutamuuu eeeeh, hebu na mie nianze mchakato kwa ile NGO. Uwiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…