Ana takiwa kujua PAYE ina asilimia, hivyo ukitaja hizo pesa zinazo katwa kama PAYE basi kinacho fata ni zile hesabu pendwa za maksi za bureUnanipa mashaka sana,kama huelewe hata mshahara wako kiasi gani,kama paye ni 1,900,000 inamaana mshahara kabla ya paye ni 6,907000 iviiii na ukitoa paye unapata 5,007,000 sasa jamaa hapo kakupoteza na wewe umeingia King...sawa banaa hii ndo Jf kila mmoja anakazi nzuri na anapesa...
Bro chutama,kimsingi umekuja sehemu sahihi JF kila mmoja tajiri,hapa kunawatu wameanza kuja pm kuomba mashavu au ushauri kumbe ulikuwa unafurahisha gengeKwenye komenti yangu ni wapi nimemkubalia au kumpinga? Huoni hapo nimeweka imoji ya kucheka na kuuliza?
Anyway, arguing here wouldn't make any difference, yesterday 5m entered my account and that's what matters.
Kuna watu mpo so negative kwenye maisha yenu na sidhani kama mtaweza ku-attract great results. Let me leave you man.Bro chutama,kimsingi umekuja sehemu sahihi JF kila mmoja tajiri,hapa kunawatu wameanza kuja pm kuomba mashavu au ushauri kumbe ulikuwa unafurahisha genge
Haiitaji kuwa hr, Bali ni Hesabu za Kodi tu kuwa, mtu mwenye salary scale ya 6m+, analipa Kodi more than 1.5mAise wewe ni HR sehemu?😂
Hata mie nimeona Kuna ka EGo kapo kazini kwake nikaachana naye.Ulitaka kutueleza kuhusu PAYE yako au kuishauri serikali juu ya mfumo wa usahili