Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana.Mquote mleta uzi sasa. Mimi unaniquote kwa sababu gani?