Mondela JF-Expert Member Joined Aug 20, 2021 Posts 2,567 Reaction score 3,777 Aug 25, 2021 #121 From Sir With Love said: Mquote mleta uzi sasa. Mimi unaniquote kwa sababu gani? Click to expand... Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana.
From Sir With Love said: Mquote mleta uzi sasa. Mimi unaniquote kwa sababu gani? Click to expand... Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana.
Mondela JF-Expert Member Joined Aug 20, 2021 Posts 2,567 Reaction score 3,777 Aug 25, 2021 #122 Zurie said: Mkaanga sumu orijinale[emoji23] Katika vitu mama wa rafiki yangu alituusia kuhusu ndoa ni "Kamwe usimhurumie mwanaume; apply pressure" Wewe apply tu pressure wanaume wanajua wapi pa kupata pesa. Usijibane bane watazitafuna wenzio Click to expand... Pressure +Pressure=Force [emoji23][emoji23] sawa nasisi tutatumia force kuicontrol pressure kepebu za hapa na pape, roba za mbao utatulia tu.
Zurie said: Mkaanga sumu orijinale[emoji23] Katika vitu mama wa rafiki yangu alituusia kuhusu ndoa ni "Kamwe usimhurumie mwanaume; apply pressure" Wewe apply tu pressure wanaume wanajua wapi pa kupata pesa. Usijibane bane watazitafuna wenzio Click to expand... Pressure +Pressure=Force [emoji23][emoji23] sawa nasisi tutatumia force kuicontrol pressure kepebu za hapa na pape, roba za mbao utatulia tu.
From Sir With Love JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 2,076 Reaction score 3,813 Aug 25, 2021 #123 Mondela said: Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana Click to expand... Mondela said: Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana. Click to expand... Mimi sikuelewi na sijui shida yako ni nini! Ila kwa sababu una akili nyingi, ngoja nikuache.
Mondela said: Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana Click to expand... Mondela said: Acha zako basi kwani nikiku quote ndio inamaanisha nakushauri wewe? Sote tupo kwaajili ya kumlenga mtoa maada na sio wewe mimi nimeku quote kwasababu ya kutoa hoja yakumshauri mtoa maada acha utoto bhana. Click to expand... Mimi sikuelewi na sijui shida yako ni nini! Ila kwa sababu una akili nyingi, ngoja nikuache.
corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,664 Reaction score 3,389 Aug 25, 2021 #124 Mwanga Lutila said: Kwani hujui kanuni ya uchumi? Kadiri unavyopata pesa nyingi ndivyo matumizi yanavyozidi kuongezeka. Click to expand... Kabisa more money more problems
Mwanga Lutila said: Kwani hujui kanuni ya uchumi? Kadiri unavyopata pesa nyingi ndivyo matumizi yanavyozidi kuongezeka. Click to expand... Kabisa more money more problems