BlueIvy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 1,034
- 2,882
Ningeshangaa kama nsngeona komenti kama hii, haina mbaya najivunia kuwa mchagga.Ni mzaliwa/ mwenyeji wa mka gani?! Kama ni Kilimanjaro, then you're finished completely
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa kama nsngeona komenti kama hii, haina mbaya najivunia kuwa mchagga.Ni mzaliwa/ mwenyeji wa mka gani?! Kama ni Kilimanjaro, then you're finished completely
Simple tu,Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi yote nagaramia mimi, mke wangu pesa yake anaiweka kwenye investments tu, utasikia kanunua kiwanja, kapanua biashara yake, kaanza ujenzi n.k.
Kinachoniuma mimi pesa yangu yote inaenda kwenye matumizi ya familia na yakwako inaenda kwenye maendeleo ya familia. Sasa kwa marafiki niliowashirikisha situation yangu wengi wananiambia umepata mke mwenye akili ya maisha, wengine wananiambia Nimekwisha!.. Nawasilisha naomba mawazo yenu (Tuepuke matusi na kejeli)
Umesoma proverbs 31??kama unataka tutumie bibleHivi yale majukumu pale Eden hukuyaelewa vizuri eeh, mliambiwa wanaume mtakula kwa jasho na sisi tutazaa kwa uchungu, so baba pambana ya hela yote timizia mahitaji ya familia yako, pesa ya mwanamke usiipigie hesabu sana maana mtaanza kupangiana hata zamu ya kuosha vyombo na deki sasa. Kama ulioa sababu ya pesa zake , badili mtazamo pambana.
Lete mistari hiyo mkuuUmesoma proverbs 31??kama unataka tutumie bible
Mwanamke anayempenda mume wake lazima atamuonea huruma mume wake. Mwanamke mbinafsi anahatarisha ndoa ya familia. Na maisha haya ya watumishi halafu majukumu yote anamuachia mume wake it's unfair ndio maana huwa nijifikirie pamoja na elimu yangu hii ya MSc naogopa kuoa Mwanamke mwenye kaziHivi yale majukumu pale Eden hukuyaelewa vizuri eeh, mliambiwa wanaume mtakula kwa jasho na sisi tutazaa kwa uchungu, so baba pambana ya hela yote timizia mahitaji ya familia yako, pesa ya mwanamke usiipigie hesabu sana maana mtaanza kupangiana hata zamu ya kuosha vyombo na deki sasa. Kama ulioa sababu ya pesa zake , badili mtazamo pambana.
Kwanini wasiweke mshahara Kati wakaupangia matumizi Kwa pamoja. Na huu ni ukatili mwingineKuna jamaa mmoja namfahamu
Yeye kadi ya benki ya mkewe anayo yeye na wote ni watumishi wa serikali
Yaani mshahara ukiingia tu dada wawatu anaona meseji tu ila mshahara hauoni hawezi chukua hadi akaombe kwa jamaa[emoji1787][emoji1787]
Daaah ndoa hizi
😅😅😅😅😅😅😅 wana mchango wa kukupa stress tuWanawake ni watu wabinafsi sana, kuishi tunaishi sote lakini gharama za maisha nigharamie mie how??? Hivi wanawake washawahi jiuliza, ukiachana na sex (ambayo wote tunatamuka) wana mchango gani katika maisha ya ndoa????
Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Mi binafsi njia nayoona ya kummiliki mwanamke ni kumfanya toothless! Binafsi hata kitu akinunua mke nitapenda nikifanye cha familia. Ile hali ya kumpa wadhifa kuwa ni chake per se sintohitaji iwe hivyo. Najua namna ya ku go about it very gently ili isilete mtafaruku. Mke akileta ubishi kwenye hilo najua kabisa sina mke.U are too wrong broh siyo kwamba wanaume atupendi maendeleo ya mwanamke ila unaangalia hayo maendeleo Yana agenda gani ..
Utajisikiaje ukisikia mkeo kajenga kwao gorofa uku ata akiumwa awezitoa ata shing 100 yamatibabu yake kila kitu anategemea kwako .. ?
Ukimuacha mkeo afanye investment bila msaada wako ni hatari Sana kwa ndoa yenu
Leo atanunua kiwanja kesho atajenga keshokutwa atapata lishkaji atalipangisha kwenye iyo nyumba watoto atawapeleka boarding so what's next ?
Ninaushuuda wa live kabisa sehem niliokua nafanya kazi boss wangu siku moja alirudi nyumban kwake na washkaj alikuta mkewe kaweka party anasherekea ujio wa NDINGA mpya ambayo amenunua Tena gari Kali zaidi ata ya mmewe ..jamaa alijisikia vibaya Sana .. iyo ni dharau kubwa Sana ..
Zaman wazee wetu walikuw wanalima nakuvuna pamoja ila kwenye mauzo mwanaume ndo huongea kauli ya mwisho yanini kifanyike..
Sikuizi wakati mwanaume anaangaika kupambania familia kupeleka watoto shule kulipa bills mbali mbali kusaidia wakwe kutumaela kwa wazazi .. wakatiuo mwanamke Ela yake ana invest .. siku ukiishiwa mke anaanza dharau .. utamfanya nini wakati .. kashajenga kashafungua na biashara kashapata na connections ? ..
Wanaume amkeni mwanamke afanyagi vitu kijinga jinga tu hua ana agenda..
Ila cha ajabu jamaa ndio atadumu vizuri na mkewe kuliko hawa mapoyoyo ambao wana access na hela full time! Mwanamke anaweza fanya maamuzi ya ajabu kama atakosa monitoring and control ya mume.Kuna jamaa mmoja namfahamu
Yeye kadi ya benki ya mkewe anayo yeye na wote ni watumishi wa serikali
Yaani mshahara ukiingia tu dada wawatu anaona meseji tu ila mshahara hauoni hawezi chukua hadi akaombe kwa jamaa[emoji1787][emoji1787]
Daaah ndoa hizi
Swali langu ni moja tu.Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi yote nagaramia mimi, mke wangu pesa yake anaiweka kwenye investments tu, utasikia kanunua kiwanja, kapanua biashara yake, kaanza ujenzi n.k.
Kinachoniuma mimi pesa yangu yote inaenda kwenye matumizi ya familia na yakwako inaenda kwenye maendeleo ya familia. Sasa kwa marafiki niliowashirikisha situation yangu wengi wananiambia umepata mke mwenye akili ya maisha, wengine wananiambia Nimekwisha!.. Nawasilisha naomba mawazo yenu (Tuepuke matusi na kejeli)