Haha haha..... Mkuu umejibu kwani?[emoji55][emoji102] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Its our time. Let us show them we are in love! [emoji23][emoji23][emoji23]
At first tulikua marafiki....so sikuwahi kuomba hela ila nilikua namuomba ushauri sana.... Coz wote ni business minded na yeye kanitangulia vitu vingi.[emoji12] [emoji4]
Haha haha..... Mkuu umejibu kwani?
Nataka nijifunze[emoji23] [emoji23] Njuluu almaarufu mizinga haikuhusika?
Mr natania tu mpenzi jmn miss you.....sikuoni siku hizi[emoji23]Mbona umekimbilia single mother?
Nimekata tamaa Dada,mazingira yanayonizunguka ndo hakuna kabisa wanaoelekea.Utapata.
Mwaliko tu unantoshaUnataka kadi ya mchango au mwaliko?
Haya tuombe Mungu tukumbukwe mwayaUkialikwa naomba niwe nawe[emoji23][emoji23]
Mwanangu sherehe ni fursa hizoMama Mdogo unapenda sherehe kweli
Kama nimekumiss vilePicha tafadhali...
Utanionaje wakati umenitenga best[emoji17]Mr natania tu mpenzi jmn miss you.....sikuoni siku hizi[emoji23]
Endelea kuvuta subira na kua na tumaini atakujaNimekata tamaa Dada,mazingira yanayonizunguka ndo hakuna kabisa wanaoelekea.
Ila naona muda wa kuoa umefika but mke!!!
Hongera tenaaa.....At first tulikua marafiki....so sikuwahi kuomba hela ila nilikua namuomba ushauri sana.... Coz wote ni business minded na yeye kanitangulia vitu vingi.
Lakini kuanzia march 2017 alipotangaza nia na akatenda kweli...... Niseme tuu anayajua majukumu yake.....