Nimepata bila kuomba, Asante love connect, Asante JF

Picha tafadhali...
a910ac63ec20927322f0d87f1604e03e.jpg
 
[emoji12] [emoji4]

Haha haha..... Mkuu umejibu kwani?

Nataka nijifunze[emoji23] [emoji23] Njuluu almaarufu mizinga haikuhusika?
At first tulikua marafiki....so sikuwahi kuomba hela ila nilikua namuomba ushauri sana.... Coz wote ni business minded na yeye kanitangulia vitu vingi.

Lakini kuanzia march 2017 alipotangaza nia na akatenda kweli...... Niseme tuu anayajua majukumu yake.....
 
Hongera tenaaa.....

Seems uko real sana.. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom