#COVID19 Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

Mabeberu wanataka kutubadilisha DNA afu tuwe ngombe ili waje kuchimba madini yetu!! Sisi hatuchanji ... ni mwendo wa nyungu mbele kwa mbele.

Afu haya ma chanjo chanjo haya yanaletaniza Corona.
 
Hii chanjo mwisho wa siku itakuwa haikwepeki especially kwa wasafiri wanaovuka mipaka ya Nchi

Kitu ambacho watu hawataki kukisema ni kwamba hakuna ajuaye mpaka sasa kwamba ukishapata tu hizo chanjo hizo mbili baaaasi upo free kutamba huku na huko kwa sababu hutopata C19.
 
Sawa
 
nilipata sinopharm ya kwanza 16 january na ya pili 8 february naona ipo sawa
 
Ego my foot, unanipangia? Sio kila mtu atafanya unavyopenda wewe. Subiri serikali wakujibu kwanini hawaleti ila hata wakileta kama ni hiari sichanji.
Mwananchi mbona una hasira Kali, chanjo hailazimishwi, hauna haja ya kua na hasira Kali

Lakini Siku ambayo utataka kusafiri nje ya nchi ndio utaona umuhimu wake unless labda kama hauna mpango was kusafiri au utazamia kwa meli, au uamue kubaki Tanzania maisha yako yote hadi kifo,

Tanzania kuna mahali tutabanwa kwenye kona tu, time will tell! Kwa sasahiv acha tuendelee kuwatukana na kuwakejeli ambao wana chanjo its our time, but itafika muda wetu.
 

Muda umeishafika; HAKUNA KWENDA KUHIJI MECCA BILA CHANJO!!!
 
Umechanja kwa hiyari au mazingira yamekulazimisha?
 
Swali ni je ukishapata chanjo hutavaa tena mask, je ndio Ina maana utakua hata ukikutana na mdudu wa corona unaeza ata mkaanga na mayai ukamla au maana yq chanjo ni kuwa umeweka shield.
 
Miss Zomboko
 
Swali ni je ukishapata chanjo hutavaa tena mask, je ndio Ina maana utakua hata ukikutana na mdudu wa corona unaeza ata mkaanga na mayai ukamla au maana yq chanjo ni kuwa umeweka shield.
Kwenye haya mambo unaweka levels tofauti za security.

Huku chanjo, huku mask unaendeleza.

Kwa sababu chanjo inaweza kuzuia cha Uingereza, ukaja kukutana na kipya cha South Africa hakisikii chanjo, kama una mask, mask ikakusaidia.

Ila mimi karibu muda wote nipo kwangu ndani sihitaji mask.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…