Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuaje Kama waliochanjwa wote wageuke Mazombi yale tunayoyaona kwenye movies.MAGOFOOL ALIWAJAZA UJINGA SANA WATANZANIA ETI CHANJO ZIPO KWENYE MAJARIBIO.
MAJARIBIO YALISHAFANYIKA ACHENI UPUMBAVU. HIZI CHANJO NI SALAMA. HIZO SIDE EFFECTS ZA WATU WACHACHE ZISIHALALISHE UJINGA WENU.View attachment 1791179
Kichwani hamnazoMimi nashangaa...mzungu angetaka kukuua, angekuua kwenye ARV,kwenye dawa ya malaria nk
Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
Eboo!!Ndiyo mkuu[emoji16]
We ni litahila Sana Mimi nimechoma second dosage mbona sjayaona hayo uyaongeauo ? Ama nikuoneshe card yangu acheni kutia watu mavi yenu mnayo fikiliaChanjo maana yake ni kinga ya ugonjwa fulani..
Labda wewe ambaye ni professional unajuwa chanjo ni nn?
Punguza kushabikia upuuzi.
Ulishawahi kujiuliza kwann kuwe na certificate baada ya kuchanjwa?
Mbona polio,Tb ,,surua,ndui,nk hakuna certificate?
Labda nikukumbushe ,,kipindi kile gonjwa limeshamiri duniani kote.
Na kila sehemu watu wamefungiwa.(lock down)
Na hata kama utasafiri still ni lazima uwekwe karanteen siku 14 hadi 21 ktk inchi husika unapofika.
Hapo wazungu wakawa wamechoshwa na hiyo lock down pamoja na kuwekwa karanteen siku hizo.
Walichoshwa na maisha kusimama.
Ndipo wakaibua suala la vaccination certificate ili wawe huru kuzunguka popote duniani pasi na kuwekwa karanteen..
Chanjo kwa sasa ni useless.
Sasa kumbe chanjo haisaidii kukukinga na maambukizi ,,
ilikuwa kuna faida gani kuaminisha na kulazimisha dunia kwamba ukichanja upo salama kutembea popote ,?
Usikurupuke mkuu,,,
hao wazungu wameshatambuwa kwamba huo ugonjwa sisi wa Africa sio tishio..
Kwanini walazimishe chanjo?
Wanachokifanya ni kuua cells zetu za kinga mwilini ili ugonjwa uje ututafune bila kizuizi.
Huko shelisheli waliochoma chanjo kinachowapata sasa,,,salamu unazo?.
India napo hujasikia?
Marekani napo hao wenye chanjo kinachowapata sasa , TV pia huangalii.
Na zile inchi za ulaya na duniani kote waliorudisha dozi za vaccination na kusema si salama,, pia hukusoma magazeti?
Mambo ya side effect after vaccination hukusikia?
Au Bandle bado zipo juu mkuu?
[emoji90] hujawahi kusafiri kuvuka mipaka ya bara la Giza endelea kuwa gizaniMkuu akili zako unaamini wote wanaosafiri ni matajiri?
Masikini ni yule anayeweka maisha yake rehani sababu ya kusafiri.
Mimi ninayeongea haya unajuwa nipo wapi?
Nipo radhi niuze mahindi ya kuchoma bongo kuliko kufanywa nguruwe wa majaribio.
Wewe unajuwa kusafiri kuliko mm?
Wacha upuuzi..
Kwanini iwe lazima uchanje ndy kusafiri,,
Na bado utapima tena corona baada ya kuchanja
Sasa nini maana yake?
Huna akili timamu mbona mahospital tuna vaa PPE ?Hili waliliibua juzi baada ya watu kuhoji,
Kwann unapata corona hata kama umechanja?
Kwann unavaa mask?
Kwann una keep distance?
Lakini ukwl upo pale pale.
Ukipata chanjo bado haupo salama.
Tatizo hamsemi ukweli mliokwisha chanja..We ni litahila Sana Mimi nimechoma second dosage mbona sjayaona hayo uyaongeauo ? Ama nikuoneshe card yangu acheni kutia watu mavi yenu mnayo fikilia
Tupo bize na LUKU wewe unaleta habari za ChanjoKwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
Bro nifanyeje ili niweze kufika njee ya nchi pls tusaidie na wengine,Tupe mwangaChanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?
Mbaya zaidi ni majaribio
Hilo ni tatizo kubwa sana.
Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni, kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.
Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.
Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria
Especially chanjo ambayo haina uhakika.
Unaweza ukawa unfit milele.
Nambie ni inchi gani ukirudi unapimwa corona?[emoji90] hujawahi kusafiri kuvuka mipaka ya bara la Giza endelea kuwa gizani
Kwanza Tanzania chanjo inapatikana wapi?Vipi huwezi kuvipata hivyo vicard vya chanjo kimagendo?
Nipe mkeo dakika 30 tu nikae nae chumbani,,,utaelewa akili zangu zina ukubwa gani.Huna akili timamu mbona mahospital tuna vaa PPE ?
Hakika mkuu..Mitarimbo imeshalala wamejikausha kimya wanasubiri na wengine waingie mkenge!
Hawa madalali uchwara wa chanjo za kichina ni half-headed!