#COVID19 Nimepata chanjo ya COVID-19

#COVID19 Nimepata chanjo ya COVID-19

MAGOFOOL ALIWAJAZA UJINGA SANA WATANZANIA ETI CHANJO ZIPO KWENYE MAJARIBIO.

MAJARIBIO YALISHAFANYIKA ACHENI UPUMBAVU. HIZI CHANJO NI SALAMA. HIZO SIDE EFFECTS ZA WATU WACHACHE ZISIHALALISHE UJINGA WENU.
IMG_20210519_190156.jpg
 
Hongera sana Mkuu kwa kujali afya yako na afya za wengine pia.
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
 
Chanjo maana yake ni kinga ya ugonjwa fulani..
Labda wewe ambaye ni professional unajuwa chanjo ni nn?

Punguza kushabikia upuuzi.

Ulishawahi kujiuliza kwann kuwe na certificate baada ya kuchanjwa?

Mbona polio,Tb ,,surua,ndui,nk hakuna certificate?

Labda nikukumbushe ,,kipindi kile gonjwa limeshamiri duniani kote.
Na kila sehemu watu wamefungiwa.(lock down)
Na hata kama utasafiri still ni lazima uwekwe karanteen siku 14 hadi 21 ktk inchi husika unapofika.

Hapo wazungu wakawa wamechoshwa na hiyo lock down pamoja na kuwekwa karanteen siku hizo.
Walichoshwa na maisha kusimama.

Ndipo wakaibua suala la vaccination certificate ili wawe huru kuzunguka popote duniani pasi na kuwekwa karanteen..

Chanjo kwa sasa ni useless.

Sasa kumbe chanjo haisaidii kukukinga na maambukizi ,,
ilikuwa kuna faida gani kuaminisha na kulazimisha dunia kwamba ukichanja upo salama kutembea popote ,?

Usikurupuke mkuu,,,
hao wazungu wameshatambuwa kwamba huo ugonjwa sisi wa Africa sio tishio..
Kwanini walazimishe chanjo?

Wanachokifanya ni kuua cells zetu za kinga mwilini ili ugonjwa uje ututafune bila kizuizi.

Huko shelisheli waliochoma chanjo kinachowapata sasa,,,salamu unazo?.

India napo hujasikia?

Marekani napo hao wenye chanjo kinachowapata sasa , TV pia huangalii.

Na zile inchi za ulaya na duniani kote waliorudisha dozi za vaccination na kusema si salama,, pia hukusoma magazeti?

Mambo ya side effect after vaccination hukusikia?
Au Bandle bado zipo juu mkuu?
We ni litahila Sana Mimi nimechoma second dosage mbona sjayaona hayo uyaongeauo ? Ama nikuoneshe card yangu acheni kutia watu mavi yenu mnayo fikilia
 
Mkuu akili zako unaamini wote wanaosafiri ni matajiri?

Masikini ni yule anayeweka maisha yake rehani sababu ya kusafiri.
Mimi ninayeongea haya unajuwa nipo wapi?
Nipo radhi niuze mahindi ya kuchoma bongo kuliko kufanywa nguruwe wa majaribio.

Wewe unajuwa kusafiri kuliko mm?
Wacha upuuzi..

Kwanini iwe lazima uchanje ndy kusafiri,,
Na bado utapima tena corona baada ya kuchanja
Sasa nini maana yake?
[emoji90] hujawahi kusafiri kuvuka mipaka ya bara la Giza endelea kuwa gizani
 
Hili waliliibua juzi baada ya watu kuhoji,
Kwann unapata corona hata kama umechanja?
Kwann unavaa mask?
Kwann una keep distance?

Lakini ukwl upo pale pale.

Ukipata chanjo bado haupo salama.
Huna akili timamu mbona mahospital tuna vaa PPE ?
 
We ni litahila Sana Mimi nimechoma second dosage mbona sjayaona hayo uyaongeauo ? Ama nikuoneshe card yangu acheni kutia watu mavi yenu mnayo fikilia
Tatizo hamsemi ukweli mliokwisha chanja..
Vibweka vya matokeo ya chanjo ni Vingi.

Pengine hapo ulipo mkono upo shavuni kwa majuto.

Ukija hapa una dalalia chanjo.
 
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
Tupo bize na LUKU wewe unaleta habari za Chanjo
 
Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?

Mbaya zaidi ni majaribio

Hilo ni tatizo kubwa sana.

Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni, kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.

Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.

Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria

Especially chanjo ambayo haina uhakika.

Unaweza ukawa unfit milele.
Bro nifanyeje ili niweze kufika njee ya nchi pls tusaidie na wengine,Tupe mwanga
 
[emoji90] hujawahi kusafiri kuvuka mipaka ya bara la Giza endelea kuwa gizani
Nambie ni inchi gani ukirudi unapimwa corona?
Hayo mambo yameshayatoa muda mrefu sn.

Na huna unachojuwa kuhusu safari za nje,,

Kaa kimya..
 
Ukhanithi unakunyemelea, maana wataalamu wanasema.inaweza kusbabisha ugumba na ukhanithi. Hongera anyway
 
Back
Top Bottom