Naomba unisamehe bure kwa kutaka kukupotosha! Nilipotoshwa pia! Pengine ningekuharibia fursa hii muhimu!Ofcourse kila sehemu kuna upuuzi,ila huwezi kuwaza negativity katika kila ishu za ughaibuni
Pamoja kaka mkubwa umeonesha uungwana.Naomba unisamehe bure kwa kutaka kukupotosha! Nilipotoshwa pia! Pengine ningekuharibia fursa hii muhimu!
Ushauri wangu, elimu ni msingi wa maisha. Umuhimu wake unazidi huo mshahara wa 500k. Kama umejiridhisha na unamuamini rafiki yako nakushauri uende. Zaidi sana, mtegemee Mungu! Hiyo ni nafasi ya pekee wengi tunaitafuta na hatuipati! Kaongeze elimu ikupe maisha bora!
Mkuu jf twatumia mkuu instead of gender😅😅Mkuu ni serikali ya kule ndio imemfadhili.
Ni italia kaka
Ok nimekuelewa. Unapaswa kwanza ujiridhishe na maelezo anayokupatia huyo jamaa yako. Kwanza ujue hayo malipo yanayofanyika (In what basis/ conditions), je ni kwa mujibu wa taratibu za hiko chuo kwa wanafunzi wake au ni sheria ya hiyo nchi kuwalipa wananchi wake pamoja na foreigners?Mkuu tatizo wabongo hawatoi msaada ulioomba wanamtoa msaada wanapujua wao
Mimi nimeuliza swali moja tu ikiwa nitanyimwa ruhusa kazini kipi bora kati ya kuacha kazi na kuacba fursa ya kusoma ?
Hapo ndo nataka ushauri huko kwingine niachieni mwenyewe wakuu
Hebu tuambie huyo jamaa yako anasoma nchi gani? Tuanzie hapo maana kila nchi na sheria zake. Hakuna nchi inayo ruhusu mwanafunzi kufanya kazi anavyopenda. Hakuna!Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Unapotaka kwenda nje kusoma au kufanya kazi..Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Cc leluleluKaka ongea na mkurugenzi wako vizuri ATAELEWA tuu.
Mi niliajiriwa na Diploma nikapata ruhusa ya kwenda kusoma bachelor then hukohuko nikaunga mpaka masters (niliongea nae nilivyomaliza bachelor akanipata ruhusa ya kuunga).
Na sasa natafuta scholarship ya PhD, napambana sanaa na nitapata tu.
#YNWA
Bla blaWakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Pole kwake , hakuwa na uwezo wa kujiongeza ..Nimekumbuka dada mmoja,alikuwa bank moja post nzuri tu,akapata bwana mzungu akaamua kwenda kuishi huko na mzungu wake atamsomesha Masters na kumtafutia kazi,akamshauri aandike barua ya kuacha kazi,kweli akaandika akasepa na mzungu wake,ndani ya miaka 2 wakamwagana,hakuna cha kusoma wala nini,anaomba msaada huku bongo wamtumie pesa za matumizi,kurudi huku anaona noma.
Hizo ni taarifa zinazoonekana kama zinavutia.iko hiv.hujui anapiga mishe gani.ulaya na amerika kuna issue zingine zinaweza kuwa zinaingiza hela lakini haziko kimaadili.Zingine ni halali tuu.unjejaribu kutafuta muda wa kumtembelea kwanza ukajue anafanya nini.unaweza kuacha job hiyo inayoingiza kiasi kidogo halafu kwenda kule ukakuta mambo siyo.Utakuwa umepoteza mazima kabisa.yaani hutainuka kabisa,utakufa kwa mawazo.Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
NimerekebishaSijakuelewa vizuri mkuu hii ibara yako naomba irudiwee
Mkuu umenipa ushauri ambao sijauomba na wala sijautaka mimiSwali langu ni jjekama hiyo nafasi ipo kweli na jamaa ni mkweli je niache kazi au niache kusoma niendelee na kazi?Hizo ni taarifa zinazoonekana kama zinavutia.iko hiv.hujui anapiga mishe gani.ulaya na amerika kuna issue zingine zinaweza kuwa zinaingiza hela lakini haziko kimaadili.Zingine ni halali tuu.unjejaribu kutafuta muda wa kumtembelea kwanza ukajue anafanya nini.unaweza kuacha job hiyo inayoingiza kiasi kidogo halafu kwenda kule ukakuta mambo siyo.Utakuwa umepoteza mazima kabisa.yaani hutainuka kabisa,utakufa kwa mawazo.
Chagua MojaWakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Nenda kapate helaMkuu umenipa ushauri ambao sijauomba na wala sijautaka mimiSwali langu ni jjekama hiyo nafasi ipo kweli na jamaa ni mkweli je niache kazi au niache kusoma niendelee na kazi?
Sihitaji ushauri mwingine nje ya hilo swali
Acha hiyo kazi nenda kasome, Hawa wanaocomment wengi hawana uelewa na haya mambo. Mwambie jamaa akuunganishe nenda kapige shule. Hiyo 3M kwa wazungu ni pesa ndogo Sana. Ila kwa bongo ni kubwa ndio maana wanashangaa tu hapa. Wamezoea kulipwa laki tatu.Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Amesema nioneshe yako kwanza kaka