Naomba unisamehe bure kwa kutaka kukupotosha! Nilipotoshwa pia! Pengine ningekuharibia fursa hii muhimu!Ofcourse kila sehemu kuna upuuzi,ila huwezi kuwaza negativity katika kila ishu za ughaibuni
Ushauri wangu, elimu ni msingi wa maisha. Umuhimu wake unazidi huo mshahara wa 500k. Kama umejiridhisha na unamuamini rafiki yako nakushauri uende. Zaidi sana, mtegemee Mungu! Hiyo ni nafasi ya pekee wengi tunaitafuta na hatuipati! Kaongeze elimu ikupe maisha bora!