The guy is very grounded since way back ukiachana na siasa za sisiemu Ila kimaisha anaishi na jamii yake vzr Sana ukiuliza watu wa huko watakuambiaDR HAYA LAND unamaana gani kusema hivyo.
Ukiwa mjinga lazima utatumika bila maslahi.Wakuu
Baada ya Nape kupost picha akichambua mboga za majani leo naona Bashungwa nae kaleta drama ya aina yake.
Hawa wanasiasa wanatuonaje jamani Watanzania?
Yaani Bashungwa anakula kwenye sehemu kama hii lakini hapo mezani kaweka simu ambazo zinanunua hicho kibanda chote
Hapana DR Tulia ndio yupo live mda wote bushungwa hapanaIla Bashungwa yupo hivyo kitambo anapenda sana kuonesha maisha ya kijijini kwao na sio nyakati hizi za Uchaguzi
Nenda Facebook ujionee lifestyle yake mkuu .Hapana DR Tulia ndio yupo live mda wote bushungwa hapana
Mimi situmii iyo facebookNenda Facebook ujionee lifestyle yake mkuu .
Huyo tangia kitambo ndo mambo yake hayo
Mbona mwamba anaishi maisha ya kawaida tu toka zamani licha ya kutoka familia ya kishua. Namfaham toka alivyoanza maisha ya kujitegemea Tabata kabla sijaja ulaya.Wakuu