Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Unajua...tulia tuHata mimi namuonaga sana mitandaoni tangu kitambo yuko humble kwa wananchi wake, kuna video yake yupo na mzee mmoja wanamenya ndizi za pombe za kienyeji. So kwa huyo jamaa Bashungwa iyo ni kawaida kabisa since way back.