GE2025 Nimepata gagaziko baada ya kuona hii video ya Bashungwa. Hivi hawa wanasiasa wanatuonaje Watanzania?

GE2025 Nimepata gagaziko baada ya kuona hii video ya Bashungwa. Hivi hawa wanasiasa wanatuonaje Watanzania?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu

Baada ya Nape kupost picha akichambua mboga za majani leo naona Bashungwa nae kaleta drama ya aina yake.

Hawa wanasiasa wanatuonaje jamani Watanzania?

Yaani Bashungwa anakula kwenye sehemu kama hii lakini hapo mezani kaweka simu ambazo zinanunua hicho kibanda chote

simu inaweza kushibisha njaa?
 
Jamaa sura tu inaonyesha ni mtu ambaye haagizi amezoea hayo maisha
 
Amesaidia nini jimbo na Taifa lake?

Tunadanganyika kwa vitu vidogo na unafiki wa viongozi wakati wao wanakula kwa urefu wa kamba zao.
Sasa mbunge au waziri akionyesha sehemu anayokula wewe unaathirika nini,au asipoweka hiyo video wewe nini kimekuongezea?watu mnakuwa na chuki binafsi hadi kwenye maisha ya kawaida
 
Watu wana wivu hadi kwa ubwabwa wa mamantilie,mtu kama anataka ubwabwa si aache tu bando la siku moja apige ubwabwa
kwahiyo gentleman,
ulitaka ndugu waziri asiufinye ubwabwa wa motomoto kitaani kwa mantilie au?
 
Wakuu

Baada ya Nape kupost picha akichambua mboga za majani leo naona Bashungwa nae kaleta drama ya aina yake.

Hawa wanasiasa wanatuonaje jamani Watanzania?

Yaani Bashungwa anakula kwenye sehemu kama hii lakini hapo mezani kaweka simu ambazo zinanunua hicho kibanda chote


3, 2, 1. ACTION.....

SIASA ZA KIPUMBAVU SANA HIZI.
 
Sasa mbunge au waziri akionyesha sehemu anayokula wewe unaathirika nini,au asipoweka hiyo video wewe nini kimekuongezea?watu mnakuwa na chuki binafsi hadi kwenye maisha ya kawaida
Jibu hoja.

Unakubali vp kuutumia ubongo wako kuzungumzia masuala ya ubwabwa badala ya kutaja mambo ambayo huyo mbunge au waziri wako kalifanyia Taifa?

Huu ujinga muwe mnauficha wakati mwingine, nchi inapitia mambo mazito na ya kuhatarisha umoja na amani kama utekaji chini ya viongozi kama hawa unakenua tu.

Shame on you.
 
Hoja ilikuwa picha kama mtu anataka kuleta hoja yautendaji wake labda wajuzi wangetusaidia
 
Maisha yetu watanzania 99% ni ya kiasili na mazingira yetu vivyo hivyo.
Kuishi kwako ulaya au mjini hakubadilishi hali halisi ya wananchi huko. Hapo anapokula mbona pazuri sana ukilinganisha na hali halisi ya wananchi?
Fikra za kitumwa (ulimbukeni) ni changamoto sana.

Jibu hoja.

Unakubali vp kuutumia ubongo wako kuzungumzia masuala ya ubwabwa badala ya kutaja mambo ambayo huyo mbunge au waziri wako kalifanyia Taifa?

Huu ujinga muwe mnauficha wakati mwingine, nchi inapitia mambo mazito na ya kuhatarisha umoja na amani kama utekaji chini ya viongozi kama hawa unakenua tu.

Shame on you
Wapuuzi na wapumbavu kama wewe hawawezi kuisha Tanzania,kila siku mnalalamika nchi inapitia mazito lakini mmekuwa na harakati za kipimbi je mmesaidia nini? Wewe ukiviziwa na mtu ukapigwa picha halafu akaweka mtandao tuanze kukunanga kwamba unatoa watu kwenye reli?mmekuwa wapumbavu na mapimbi kwa kuleta kila kitu kwenye siasa zenu za kipimbi .
 
Na angepost anakula vyakula vya gharama kwenye Hoteli kubwa ya gharama,nayo pia ungemuanzishia uzi wa lawama.
 
Hivi ukiwa tajiri au mwanasiansa huwezi kwenda kutembelea ndugu zako wa ukoo? na ukifika huko wakitenga chakula hautakula kisa wewe ni tajiri au mwanasiasa? je unaweza kuwafanya ndugu zako wote wakawa matajiri kwa wakati mmoja kisa wewe ni tajiri au mwanasiasa? Hapo alikwenda kwa ndugu yake
 
Back
Top Bottom