GE2025 Nimepata gagaziko baada ya kuona hii video ya Bashungwa. Hivi hawa wanasiasa wanatuonaje Watanzania?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata mimi namuonaga sana mitandaoni tangu kitambo yuko humble kwa wananchi wake, kuna video yake yupo na mzee mmoja wanamenya ndizi za pombe za kienyeji. So kwa huyo jamaa Bashungwa iyo ni kawaida kabisa since way back.
Unajua...tulia tu
 
Muda wa uchaaafuzi tutaona vituko vingi sana. Kabla ya kukaribia kwa uchafuzi usha wahi waona wakifanya haya
 
kwahiyo gentleman,
ulitaka ndugu waziri asiufinye ubwabwa wa motomoto kitaani kwa mantilie au?
 
Hata hivyo waziri Bashungwa anafanana na Kanye West
 
Mwacheni Mbunge wetu tunapenda namna anavyoishi na watu wote bila kubagua.
 

Kama Kuna ambaye ataingia kwenye chemba ya choo chenye mavi ili kuonesha kua Yuko na wananchi mnishtue haraka.
 
Maisha yetu watanzania 99% ni ya kiasili na mazingira yetu vivyo hivyo.
Kuishi kwako ulaya au mjini hakubadilishi hali halisi ya wananchi huko. Hapo anapokula mbona pazuri sana ukilinganisha na hali halisi ya wananchi?
Fikra za kitumwa (ulimbukeni) ni changamoto sana.
 
Bashungwa hana baya! Nimekapenda hako kawimbo! Ila shemeji zangu kwa kuimba bwana mpaka nimejihisi kama niko ukweni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…