Nimepata Gari namba B injini nzima kuliko zenye namba D. Nimeshangaa!

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako
 
Ukienda kutongoza dem na namba B wanakuona wa zamani. Unaishi mkoa upi labda
 
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako
ngoja kwanza ukae kae nako mieiz kadhaa ndipo utakuwa na uhakika.
Shida ukinunua gari namba ya zamani ukija kuliuza ndipo tatizo linaanzia hapo maana watu wanazingatia sana namba.
by the way vitz hasa zile old model zina roho ngumu.
 
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako
Katika kushangaa kwako hujabubujikwa na machozi ya furaha??
 
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako
umepimaje/umetumia vigezo gani kuwa engine ni mpya?
 
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako
Ipo sana hii, Binti ana miaka 28, kajitunza akatunzika wamegonga wanaume 2,ila unakutana na karumanzila wa 2006 ana mabwana 8,ashazibuliwa chemba,threesome DP za kutosha👺👺👺👺
 
Naweza vizuri kabisa I am all whether
Aah hapo sawa Mkuu, maana Dunia ya Sasa Hawa MADEMU wenye mafanikio kielimu, kiuchumi ,wenye ndinga zao ,wako singo , wanatutegemea sisi.

Ila kwakua wanaume wengi ni waoga , wanaamini mpaka wamiliki gari kwanza ndo watakua na Uwezo wa kuwaface.

Nimeshatafuna DED, DAS, wakuu wa Idara Hawa, kimasiharaaaa kinyamaa!!
 
Ni kweli mkuu sisi kazi yetu ni kuwahudumia wote kwa kwa usawa.
 
Umenikumbusha kipindi flan ndio kwanza sijui magari ndio nikawa nimefumania pesa sasa nataka ninunue gari mkononi kwa madalali.

Sasa kwa bajeti yangu nikachagua Noah flan hiv, jamaa akaniuliza fundi wako yuko wapi aicheki??

Nikamvuta pembeni, nikamueleza, kuwa mimi bwana unaponiona hapa sijui a wala be kuhusu magari. Yan hapa hata nikinunua siwez kuendesha utanipa dereva anipelekee home, hapa sina fu.di wala nini nimekuja mwenyewe, kwahiyo kama utaniingiza chaka wala sitajua chochote kwahiyo mwanangu nakusikiloza wewe.

Jamaa akaniangalia sana, kishaa akase.a " umefanya vizur kuwa mkweli bro, sasa sikushauri uchukue hii Noah, chukua chuma hiki", akanionyrsha Honda flan hiv.
Akasema hii utaongeza hela ya kufunga btake pad mpya, tutajaza gesi ya ac na kumwaga oil na kubadil air cleaner, mengine utafanya utakapojisikia na kama wakat utakapopenda, hii gari nzima ma ikikusumbua nitakurudishia pesa yako.

Nikadaka honda, ile gari nikaitumia 3 yrs bila kuipeleka gereji , miaka mitatu ruti ni sheli na kuisha basi. Nilipotakaa kuiuza after 4 yrs nikamtafuta mwamba yule yule anaichukua na akanipa spacio nzuri zaid nikaongeza pesa kidogo
 
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako
Hili wengi hawalitaki!Gari ukinunua kwa muhindi hata namba A unakuta injini ni nzima! Maana wao ni dukani,jamatini, nyumbani
 
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari namba D zimechoka vibaya na kuna na c na b ni nzma kutokana na matunzo uchaguzi ni wako

Number plate si gari bali gari ni engine
 
Back
Top Bottom