Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

Usijali, siku nikiwa Rais taasisi za umma watalipwa mshahara kulingana na mapato ya taasisi husika isipokuwa TRA!
Hakuna kundi la Watu wajinga kama watumishi WA serikali, ndio maana yakistaafu wanakufa mapema.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Lod have Mess πŸ˜ƒ
 
Nilipoteza kadi ya NHI na kupeleka ripiti ya polisi ili nipewe nyingine. Waliniambia niwe natumia kadi ya NIDA kwa vile nilikwishawapa wakaisajili kwao. Je huu ndio utaratibu? Kuna sehemu wanahitaji waone kadi
Hii ni kama kesi yangu, sikupewa kadi ya bima niliambiwa nitumie Namba kutibiwa
 
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.

Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?

Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma.

Pale kuna wale watoa huduma unaowakuta dirishani ukienda wanahisi wao wanakusaidia, wanakupa msaada wakati ni jukumu lao.

Mimi binafsi ni Mwanachama wa NHIF nimejiunga na kifurushi cha TIMIZA.

Sasa nilienda kuchukua kadi pale NHIF plae katika ofisi zao zilizopo kweye jengo la PSSF, nimefika pale namkuta mbaba pale dirishani, picha linaanza naenda dirishani ananiangalia tu, nikamwambia nimekuwa kuchukua kadi.

Akauliza kwahiyo? Heee nikamwambia kwahiyo? Ndo akauliza hiyo kadi ni yako au nikamwambia ndio, akasema nani kalipia nikamwambia mume wangu, hee akasema mpaka aje yeye ndio tutatoa hiyo kadi.

I was like what!!!! Ila nikasema sawa kwa sababu kila sehemu ina sheria labda ndio sheria, nikamuuliza kaka hii Sheria imeanza lini maana mimi ndio nilikuja kufuata kadi ya mume wangu pamoja na watoto, sasa inakuwaje unasema siwezi kuchukua kadi yangu mpaka yeye?

Akasema "Sina muda wa kuongea sasa hivi, sogea pembeni nihudumia mtu mwingine 😟😟."

Aisee nilikasirika, nikabaki nimesimama akasema nakuitia mlinzi, heee nikamuuliza kaka una shida Gani?

Hee mara mlinzi akafika pale ohooo mara nikapelekwa kwenye ofisi hapo NHIF.

Nikaanza kuulizwa nikaeleza kila kitu ndio nikahudumiwa. Tena yule mtu wa ofisini alikuwa anaongea vizuri hadi akaomba msamaha.

Wana JF hii sio mara ya kwanza linatoke swala kama hili pale NHIF, kuna siku pia nilienda kusajili nikakuta mhudumu anamfokea mteja pale dirishani, I was like hivi hii ni namna gani ya kutoa huduma?

Jamani NHIF embu jitahidini kutoa huduma nzuri kwa wateja yaani tulipie vifurushi bei kubwa na bado tukija ofisini kwenu mtugombeze?

Wana JF Naomba nijue kama hili suala limenikuta mimi tu au na nyie mmekutana nalo
Mkuu umesahau vyeti feki vilivowahi kuleta taharuki hapa nchini??
Hawa ndo watu wenyewe,wamepeana kazi kiccm ccm.,
 
Yani hizo ofisi za serikali ni uozo mtupu, watu wapo ili wapate mshahara mwisho wa mwezi basi ila wengi wao hawatimizi majukumu yao ipasavyo ni wachache sana ambao hutimiza majukumu yao, yani mtu ni jukumu lake kumhudumia mteja ila anaona kama anakusadia vile.
 
H
Kama

Nadhani walikwa k

Wasamehe bure, taasisi yao imepata hasara nyingi kwa kutohakiki kadi zao. kuna watu wengine mpaka walikuwa wanaaziamana kadi za matibabu.
Heee mi Sasa loss yao na huduma mbaya kwangu inahusiana Nini😟😟
 
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.

Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?

Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma.

Pale kuna wale watoa huduma unaowakuta dirishani ukienda wanahisi wao wanakusaidia, wanakupa msaada wakati ni jukumu lao.

Mimi binafsi ni Mwanachama wa NHIF nimejiunga na kifurushi cha TIMIZA.

Sasa nilienda kuchukua kadi pale NHIF plae katika ofisi zao zilizopo kweye jengo la PSSF, nimefika pale namkuta mbaba pale dirishani, picha linaanza naenda dirishani ananiangalia tu, nikamwambia nimekuwa kuchukua kadi.

Akauliza kwahiyo? Heee nikamwambia kwahiyo? Ndo akauliza hiyo kadi ni yako au nikamwambia ndio, akasema nani kalipia nikamwambia mume wangu, hee akasema mpaka aje yeye ndio tutatoa hiyo kadi.

I was like what!!!! Ila nikasema sawa kwa sababu kila sehemu ina sheria labda ndio sheria, nikamuuliza kaka hii Sheria imeanza lini maana mimi ndio nilikuja kufuata kadi ya mume wangu pamoja na watoto, sasa inakuwaje unasema siwezi kuchukua kadi yangu mpaka yeye?

Akasema "Sina muda wa kuongea sasa hivi, sogea pembeni nihudumia mtu mwingine 😟😟."

Aisee nilikasirika, nikabaki nimesimama akasema nakuitia mlinzi, heee nikamuuliza kaka una shida Gani?

Hee mara mlinzi akafika pale ohooo mara nikapelekwa kwenye ofisi hapo NHIF.

Nikaanza kuulizwa nikaeleza kila kitu ndio nikahudumiwa. Tena yule mtu wa ofisini alikuwa anaongea vizuri hadi akaomba msamaha.

Wana JF hii sio mara ya kwanza linatoke swala kama hili pale NHIF, kuna siku pia nilienda kusajili nikakuta mhudumu anamfokea mteja pale dirishani, I was like hivi hii ni namna gani ya kutoa huduma?

Jamani NHIF embu jitahidini kutoa huduma nzuri kwa wateja yaani tulipie vifurushi bei kubwa na bado tukija ofisini kwenu mtugombeze?

Wana JF Naomba nijue kama hili suala limenikuta mimi tu au na nyie mmekutana nalo
Serikali isiyojali ufanisi huwa haina ufuatiliaji wa ubora wa huduma zake kwa wateja.

Pole mkuu
 
Kiujumla, almost ofisi zote za serikali wapo hivyo..!! Ndo maana kwa jambo lile lile, private sector inafanya vizuri kuliko huko serikalini.
 
Kuna vidada viko NHIF pale posta karbu na KFC mkabala na Ifm Aisee Kuna vidada vipo reception vinajickia sana Yani wanakuona kama umekuja kuuza sura Kuna mmoja mweusi mwembamba hivi anakaa upande wa kulia hapo reception kama anasoma hapa ajue namchukia sana na komwe lake ila Kuna jamaa mfupi kidgo nampa big up anakuelewesha vizuri mbaka unafurahia ila hiyo midada ya hapo πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Enzi za Jpm hayo mambo yalipungua sana siku hizi customer care kwenye taasisi za umma ni mbovu sana, au nasema uongo ndugu zangu
 
Hao hutakiwi kuwakawiza
Ulitakiwa uwape makavu shz tup

Ova
 
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.

Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?

Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma.

Pale kuna wale watoa huduma unaowakuta dirishani ukienda wanahisi wao wanakusaidia, wanakupa msaada wakati ni jukumu lao.

Mimi binafsi ni Mwanachama wa NHIF nimejiunga na kifurushi cha TIMIZA.

Sasa nilienda kuchukua kadi pale NHIF plae katika ofisi zao zilizopo kweye jengo la PSSF, nimefika pale namkuta mbaba pale dirishani, picha linaanza naenda dirishani ananiangalia tu, nikamwambia nimekuwa kuchukua kadi.

Akauliza kwahiyo? Heee nikamwambia kwahiyo? Ndo akauliza hiyo kadi ni yako au nikamwambia ndio, akasema nani kalipia nikamwambia mume wangu, hee akasema mpaka aje yeye ndio tutatoa hiyo kadi.

I was like what!!!! Ila nikasema sawa kwa sababu kila sehemu ina sheria labda ndio sheria, nikamuuliza kaka hii Sheria imeanza lini maana mimi ndio nilikuja kufuata kadi ya mume wangu pamoja na watoto, sasa inakuwaje unasema siwezi kuchukua kadi yangu mpaka yeye?

Akasema "Sina muda wa kuongea sasa hivi, sogea pembeni nihudumia mtu mwingine 😟😟."

Aisee nilikasirika, nikabaki nimesimama akasema nakuitia mlinzi, heee nikamuuliza kaka una shida Gani?

Hee mara mlinzi akafika pale ohooo mara nikapelekwa kwenye ofisi hapo NHIF.

Nikaanza kuulizwa nikaeleza kila kitu ndio nikahudumiwa. Tena yule mtu wa ofisini alikuwa anaongea vizuri hadi akaomba msamaha.

Wana JF hii sio mara ya kwanza linatoke swala kama hili pale NHIF, kuna siku pia nilienda kusajili nikakuta mhudumu anamfokea mteja pale dirishani, I was like hivi hii ni namna gani ya kutoa huduma?

Jamani NHIF embu jitahidini kutoa huduma nzuri kwa wateja yaani tulipie vifurushi bei kubwa na bado tukija ofisini kwenu mtugombeze?

Wana JF Naomba nijue kama hili suala limenikuta mimi tu au na nyie mmekutana nalo
Pole sana. Huduma kwa Wateja kwa mashirika ) taasisi za Umma ni mbovu kwa asilimia kubwa. Ndio manaa wengi wanapendekeza ajira kwa mkataba badala ya permanent & pensionable. Huenda kdg watanyooka.
 
Back
Top Bottom