Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

Nailed. Kwa kuongezea kama wanaruhusu kwenda hata kijijini hamia huko. Mchele 1000 matunda kwa jirani nyumba piga ua 30k kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 200k kwa mwezi 18mil una save.
 
Nailed. Kwa kuongezea kama wanaruhusu kwenda hata kijijini hamia huko. Mchele 1000 matunda kwa jirani nyumba piga ua 30k kwa mwezi unaweza ukajikuta unatumia 200k kwa mwezi 18mil una save.
Nipo nyanda za juu kusini mkuu, ni mjini lakini bei za vitu hasa vyakula ziko chini sio kama Dar/Dodoma.
Siwezi kwenda kijijini maana hiyo kazi itanihitaji sana sana niwe na umeme wa uhakika na internet ya uhakika popote nitakapokua nafanyia kazi.
 
Nipo nyanda za juu kusini mkuu, ni mjini lakini bei za vitu hasa vyakula ziko chini sio kama Dar/Dodoma.
Siwezi kwenda kijijini maana hiyo kazi itanihitaji sana sana niwe na umeme wa uhakika na internet ya uhakika popote nitakapokua nafanyia kazi.
Tulia hapo hapo. Save hela 18mil unaweza kuisave na kuiingiza kwenye miradi ikakupa increment
 
Sawa, ni mawazo yako pia.
Ila hawa wao ni kwamba they dont require you kuwa USA ili kuifanya kazi,so you do not have to relocate. Nadhani ndio maana iko hivyo.
Basi baki hapa Bongo, do remotely utaenda kutembea Marekani mara mbili kwa mwaka kama ulivyosema inatosha.

Kama usingekuwa na familia angalau ungeweza kwenda Matekani ila kwenda na familia kwa kiasi hiko cha mshahara Marekani utaishi kwenye rat race wakati bongo hapa Dar utaishi kama mfalme.

Pia fanya thoroughly scrutiny unjiridhishe pia kuwa hiyo kazi ni genuine.
 

kaishi italy[emoji3]
 

ukienda USA utarudi shoga!! wanavopenda kuchakatana kule
 
Kwa pesa hiyo baki bongo....jambo jema ni kwamba mara mbili kwa mwaka unakwea pipa kwenda kutoa sumu....alhamdulilah si mbaya....wekeza nyumbani....18,750,000....kila mwezi unaficha..m.10.iliyobaki unaishi vyema na kuwekeza
 
Mmi sijaishi usa but stay bongo toa mjengo mkali ,nunua dinga kali n invest more ...Baada ya hapo itahisi upo texas vile

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Nenda tu state ukifika elekea Texas piga kazi nunua ranch yako uwe cowboy uanze kufuga farasi ila uwe makini usiende kusalimia majirani maana Texas hadi wabibi ni wahuni wanatembea na Revolver bunduki za cowboy
 
Kama unalipwa$ 7 k ukiwa Tanzania wewe kaa hapo hapo. Maana $7k kwa Tanzania ni Sawa na mtu anaye Pata $14 kwa mwezi akiwa anaishi USA. Hizo $7k ukiwa marekani ni Sawa na mshahara wa milioni 1 Tanzania..
 
Nilidhani angalau umeshaanza kazi na kupokea hata mishahara miwili kumbe bado. Ninaungana na watu wengine wanaosema kuna utapeli hapo. AMKA KIJANA.
 
Ukiomba kazi mtujuze hivihivi tujue jinsi ya kuwaombea kwa allah
 
Kuna makato sana, hiyo hela kama ni offer waliokupa ukibaki sana ni na dollar 1700-2800 kwa US. Huwezi pata hiyo hela ajira yyte us. Maana hujatuambia makato. Wether upo bongo au kule. Makato ni yale yale yanakuhusu.
So baki bongo kama kweli.
Fanya remote. Wapo wengi tu wanafanya remote. Haswa watu wa pharmacy, sales za magari au wale realtor wapo wengi tu bongo. Ila offer yako pia ndogo sana wamekupa.

Wenzako wengi Wanakula 12000 usd mpaka 16,000 wanabaki na kati ya 6,000 na 7500 so review your agreement.
Ndio urudi hapa.
 
Wwe mindset yako ina shida sana.

kwani ukienda huko biden anakuambia tulia huku huku hakuna kurudi kwenu?

Mkuu unPopata exposure hata ubongo unakuwa zaidi na unafahamu vitu vingi.
Weee endelea kulima ufuta hapo msanga chole
 
Mkuu kama unatak kuja kuishi huku njoo na vzr for exposure ila usisahau Ili

Huku maisha ni expensive labda uje na usake kaz zngne (part time) kwa mshahara huo ni bora ukala nao huko huko Tz


Ukija usisahau kuniandia ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…