Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Kama umejirizisha, ushauri wangu mimi na kwa uzoefu wangu, hiyo pesa kwa US unapiga life poa kabisa. Majority wanachoingiza ni kuanzia US$2,500 hadi US$4500 kwa mwezi, hivyo kulazimika kuwa na multiple Jobs ili kuongeza vipato na kumudu bills, of which na wewe itabidi utafute mishe za ziada.Sio scammers mkuu, hawa ni watu very legitimate, nimejiridhisha na hilo asilimia 100. Ondoa hofu.
Asante kwa ushauri mkuu. Ila mkataba wanatoa wa mwaka mwaka, popote pale utakapoamua kufanyia kazi.Sasa mkuu ukibaki bongo baada ya miezi kadha wakavunja mkataba utafanya nini? Bora uende usa hata mkataba ukiisha ukiisha bado utapata kazi tuu kwasababu elimu unayo and am sure hata wife akifika atapata kazi tuu mtasaidiana bills mbali mbali, mkuu yani unajiuliza mara mbili issue kama hiyo? Mamillion ya waafrica wanapambana kwenda usa kila mwaka wewe umepata fursa unachezea? Nakuhakikishia ukiamua kubaki bongo ipo siku utajilaumu maisha yako yote, nenda na ukomae upate permanent resident. Twende mkuu mimi niwe mfanyakazi wako wa ndani.
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri.Kama umejirizisha, ushauri wangu mimi na kwa uzoefu wangu, hiyo pesa kwa US unapiga life poa kabisa. Majority wanachoingiza ni kuanzia US$2,500 hadi US$4500 kwa mwezi, hivyo kulazimika kuwa na multiple Jobs ili kuongeza vipato na kumudu bills, of which na wewe itabidi utafute mishe za ziada.
Ukiongozana na shemeji, yeye pia unamfanyia mchakato apate vibali, anakuwa anapiga mishe kadhaa, mnazidi kuwa well off financial. Hapo mnakuwa mpo vyema mno.
Hiyo ni fursa, sikushauri eti uje kuishi huku vikindu.
Kama ni kweli basi baki bongo,Habari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA mara mbili tu kwa mwaka. Nikiamua kuhamia USA, maana yake wako tayari kuni sponsor VISA ya H-1B.
The tricky part ni kwamba mshahara ni ule ule, vyovyote vile nitakavyoamua. Jiji ambalo makao makuu ya jamaa yapo ni Houston, jimbo la Texas. Mimi nina familia ya mke na watoto wawili, ofa yao ya mshahara ni USD 7,500 kwa mwezi. Wamenipa muda wa wiki mbili nifanye maamuzi kisha niwaatarifu ili waandae mkataba wangu kulingana na maamuzi nitakayokuwa nimeyafanya.
Kufanya kazi na kuishi USA kiujumla limekuwa ni jambo ambalo nimelitamani sana kwa muda mrefu kusema ukweli, shida ni hapo kwenye maslahi naona kuhamia USA with the same income ambayo naweza pia ipata kwa kubaki hapa bongo ni kama nitakuwa nimerudi nyuma sana, kwa sababu USD 7,500 kwa maisha ya Marekani sio pesa nyingi kihivyo, kulinganisha na bongo ambako unaishi ki-don kweli kweli kwa hiyo pesa.
Najua humu JF kuna wazoefu wa kuishi USA, na pia kuna watu wana exposure za kutosha kiujumla, nikaona sio mbaya nikaja hapa kuomba ushauri.
Wabongo acheni uoga watu wanaenda america hawana hata hiyo Dola 7000 Kwa mwezi na wanatusua life kama Kawa sembuse huyo monthly salary ya Dola 7000.View attachment 2881703
Naomba uangalie hilo jedwari. Na nikushauri tena. Ungekua mwanafunzi ningesema hela hyo inakutosha. Ila kwasbabu una familia huku. Pambana bongo kwanza then baadae utaenda huko. Maana utahitaji walau 68,000$ ili uishi maisha favourable.
Umetaja Houston. Patakufaa ila kusanya kwanza hela. Au kama una mpunga nenda. Or else utaenda kuishi kama unajitafuta na inaweza kukucost zaidi. Angalia jedwali kwa maswali zaidi nitag.
Hili chawa la CCM the highest payment yake ni buku 7 per day.Kwanini raia mnamkatalia sana jamaa na kumuona anaota? Kwani haiwezekani au?
Shida wengi hamjui JF kuna watu wa aina nyingi sana humu
Asante sana kwa ushauri mzuri. Working hours ni the same bila kujali location (40 hrs per week).Kama ni kweli basi baki bongo,
Tandale (mfano tu + joke) unaweza kupata chumba hata Cha 30,000/- maisha yakasonga but "Mamtoni" hiyo sahau. Hata mlo mmoja wa siku unalipa kidogo ki bongo bongo zaidi kuliko huko
Yaani kama mshahara ni constant basi mostly likely uta save zaidi ukiwa Tanzania kuliko ukiishi USA sababu ya living cost za kule kua juu zadi kuliko za hapa bongo.
Ila kama wewe kipaumbele chako sio saving wala anything relating to money bas kakae tu "Mamtoni/Majuu" ufurahie mema ya dunia.
Ila kama huko kuna uwezekano wa kupiga mishe zaidi ya moja bas bora huko. Sifahamu kwenye working hours kama zinalingana between Dar na USA Kwa hiyo kazi yako.
Ila hii yote inategemea pia kama issue yako ni ya kweli ama sound.
Sawa mkuu, nitafanya hivyo ku share ili kuwafungua zaidi vijana. Japokua vijana wetu wengi wamejaa negativity, hata hapa jukwaani nadhani unaona. But nita share, anyways.Hongera sana mkuu. Binafsi sina uzoefu wowote na mbele na sina cha kushauri. Ila ikikupendeza unaweza pia kuja kushare nasisi jinsi ya kupata fursa kama hizo. Hatua uliyopiga wewe wengine tupo nyuma ya hapo hivyo tunatamani fursa kama hiyo.
Mi nikutakie heri tu.
Sawa mkuu Kichwa KichafuUsisahau Kuleta Mrejesho Zaidi
Yes, naona ushauri mbalimbali, napokea wote na kuuchakata kwenye halamshauri ya kichwa changu, mwisho wa siku nitafanya uamuzi.Hapa unatiwa moyo na kukatishwa tamaa kwa pamoja.Vyovyote vile wewe ndio mwenye uamuzi wa mwisho.
Nimekuelewa mkuu, n asante sana. Nitafanyia kazi ushauri.Wastani wa Mshahara kwa US ni $6,000,
Huo Mshahara ni Mzuri kabisaa, kama wao wenyeji inawatosha na wamarekani wanavyopenda bata, kwa wewe mtafutaji hio inakupush sanaa..
Sikatai kua gharama ni kubwa, insurance za kutosha, kodi n.k, ila kama wao wanachezea humu humo, means, wewe pia Inakuvusha, possibly ukawa unapata exta time kufanya vifurushi vingine vya kukuingizia kipato..
Kuna mshkaji alikua anafanya kazi ya 500k sehemu serikalini, akapata zali kama hilo, akaandika barua ya likizo ya miaka mi 3 bila malipo akasepa, Salary yake ilikua chini ya hapo, ila alikua anasave pakubwa, na nje ya hapo mtaani anapiga madili yanayompa zaidi ya Salary, Asaivi kabakiza miezi mkataba ukate, hana mpango na Futuhi.
US ukipata Uhalali wa kwenda tuu hilo linatosha kama ni mpambanaji.
Asante kwa ushauri.Baki bongo acha na USA