TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #101
Hiyo USD 7500 ni NET; Yaani baada ya makato ya kodi, bima ya afya, pension; ninachobaki mkononi ndio hiyo amount mkuu, sio GROSS.Kuna makato sana, hiyo hela kama ni offer waliokupa ukibaki sana ni na dollar 1700-2800 kwa US. Huwezi pata hiyo hela ajira yyte us. Maana hujatuambia makato. Wether upo bongo au kule. Makato ni yale yale yanakuhusu.
So baki bongo kama kweli.
Fanya remote. Wapo wengi tu wanafanya remote. Haswa watu wa pharmacy, sales za magari au wale realtor wapo wengi tu bongo. Ila offer yako pia ndogo sana wamekupa.
Wenzako wengi Wanakula 12000 usd mpaka 16,000 wanabaki na kati ya 6,000 na 7500 so review your agreement.
Ndio urudi hapa.
Chance ndoto