Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi ila naona aibu kuifanya

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Mambo job seekers wenzangu.

Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.

Mnanishaurije?
 
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Msiwe mnaleta upumbavu JF, upumbavu huu malizieni huko kwenye mitandao ya Meta.
 
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Mungu wangu nimepata mpaka machozi
 
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Niachie nifanye mm mshaha tugawane yan nakupa laki 3 we ukae tu boss
 
Acha ujinga.......utakula weng kimasihara......zen utakuja kucomment keenye uzi wetu
 
0AI9TxN.jpg
 
Mambo job seekers wenzangu.

Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.

Mnanishaurije?

Kama umepata kazi kwenye kampuni, bila shaka wewe sio muuzaji wa rejareja bali utakuwa wasaka masoko ya jumla ambapo sioni kama ni kikwazo...
 
Back
Top Bottom