King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Naomba connection ya kaz yyte hapo kariakoo mkuuKazi kazi mkuu..mwenzio nina goli langu kariakoo nauza chupi za wadada tu..na napiga pesa kinoma asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba connection ya kaz yyte hapo kariakoo mkuuKazi kazi mkuu..mwenzio nina goli langu kariakoo nauza chupi za wadada tu..na napiga pesa kinoma asee
Kwa nini unitukane mkuu?JF wangekuwa wanaruhusu matusi mleta mada ningekutukana. We ni boya kinyama.
Kwakuwa hujielewiKwa nini unitukane mkuu?
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Unaona aibu!!!!??Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Ndugu usisubutu kukataa kazi maana hujui Muumba wako kakuandalia nini mbele ya maisha yako, shukuru Mungu maana wengi waliitamani hiyo nafasi lakini hawakujaaliwa kuipata. Usisubutu kuacha hiyo kazi.Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Ukiuza Pedi na wewe utaanza kubleed au?Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Akili za ki brotherman hizi aache wafanye wenzie wenye shida na kazi yoyoteUkiuza Pedi na wewe utaanza kubleed au?
Ovyoo sana[emoji57]
HaHAha mzee unauza vifuniko vya asali....mzeya nipo mchongo nami niuze vifuniko vya asali nikiunganisha na hii kazi ya bodaboda nitakuwa najilia mbususu kwa raha zanguKazi kazi mkuu..mwenzio nina goli langu kariakoo nauza chupi za wadada tu..na napiga pesa kinoma asee
Naitaka mm hiyo kazi kma vp niwe hata wakala wao kutokea tangaMambo job seekers wenzangu.