Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
na kuna wadada hawana kabisa,juzi nilikuwa pharmacy moja nanunua dawa akaja mdada "naomba p2" mule ndani tulikuwa watu wanneHii nayo kali.
Mbona siku hizi hivyo vitu havina uaibu tena na mara nyingi wenye aibu ni sisi wanunuaji hasa muuzaji anapokuwa Me.
anyway uzi huu umenikumbusha miaka ya nyuma kuna jamaa aliitwa mathayo,yeye kazi yake ilikuwa kuzibua vyoo na hakuona aibu kabisa nashangaa mleta mada