kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Hahaha. Afundishe!Acha ujinga Pedi ni kama nguo nyingine za mwili, angalia kipato tena uwe unafundisha na wateja njia nzuri za kuvaa hizo pedi
Msiwe mnaleta upumbavu JF, upumbavu huu malizieni huko kwenye mitandao ya Meta.Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Wanasema "Uoga wako, umaskini wako"..Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Mungu wangu nimepata mpaka machoziMambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Niachie nifanye mm mshaha tugawane yan nakupa laki 3 we ukae tu bossMambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales,mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokua comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Aah wapi. Pedi ni aibu hata kuitajaAcha ujinga Pedi ni kama nguo nyingine za mwili, angalia kipato tena uwe unafundisha na wateja njia nzuri za kuvaa hizo pedi
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?